Katika hio miaka 20 yenu ya kuwasindikiza mabingwa, Liverpool ameshinda haya makombe makubwa yafuatayo:
-Uefa 2 trophies
2004-2005/2018-2019
-Uefa Super Cup 2
2005-2006/2019-2020
-International champions cup 1
2014-2015
-World Club Cup 1
2019-2020
Ukiachana mauchafu ya FA, EFL na Community Shield yasiyo na idadi waliyoyajaza kwenye kabati lao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Arsenyau mnapenda sana kufanya battle na kujilinganisha na timu kubwa kama Liverpool, Man Utd, Chelsea na Mancity wakati nyinyi level zenu ni kina Tottenham, Brighton, Fulham, Aston Villa maana hata Westham amewazidi ana kombe la ulaya.
Arsenyo nyie mafanikio yenu ni kwenye Sexy tu, mko vizuri kwenye kucheza pira la unenguaji tokea enzi za mzee Wenger lakini linapokuja suala la mafanikio ya makombe jua kuna wanaume wa hizo kazi.