Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,248
- 76,828
Chelsea anaweza akakomaa je anayefuatia?
Acha yapigwe tu
Acha yapigwe tu
Team Chelsea tujuane leo!
Team Chelsea tujuane leo!
Wadau msaada wa link angalau nione second half
Fuata maelekezo ikisema subiri inaverify kama we ni binadamu isubiri. Ikisema sogeza puzzle sogezaMkuu msaada wa link
Hahaha lenga mwezi uambulie nyotaHii benchmark kubwa mno mzee.😂😂😂
Shukran.acha niijaribuFuata maelekezo ikisema subiri inaverify kama we ni binadamu isubiri. Ikisema sogeza puzzle sogeza
In terms of goals msimu uliopita ndiyo ulikua bora kwa Saka alifunga magoli 14.
Msimu huu mpaka sasa hivi ana magoli 12.
Chuma cha nneWanangu wa Burnley hawajawahi kuniangusha🔥
Shanganzi upo?Wanangu wa Burnley hawajawahi kuniangusha[emoji91]
Nyukesto [emoji28]
Link utakuwa unapata wakati mgumu, pakua yacine tv, hapo ni uhakika.Mkuu msaada wa link