Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

"Sasa anakaribia miaka mitano Arsenal, na katika hiyo mitano, ametumia mitatu kupambana tusishuke daraja"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kidela muogope Mungu ndugu yangu.
Miaka 3 ipi timu ilitaka kushuka daraja halafu Arteta akapambana ili isishuke?
Sema Arteta kakaa karibu miaka 5 bila ya kombe lolote la maana zaidi ya mwanaFA pamoja na bakuli la ngao ya jamii hapo utaeleweka vizuri ndugu yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti kidela[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tunakumbushana

Jinsi Liverpool alivyonyanyasika
20240216_122424.jpg
 
mkorea

Unajua kwanini hatuharakishi wachezaji Kwa Sasa ?

Mikel Arteta:

"The most important thing to impact at the end of the season is to have the squad fully available. For me, that is requirement number one. And at the moment, we don't have it.

I think we have a good chance." [Arsenal]
 
I got u

Mechi za mwishoni uefa na ligi inabidi tuwe na full squad

Game 10 za mwishoni za kumaliza ligi partey aanze kutumika hapo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Naona mpo kupeana matumaini hewa
Baadaye mtakuja hapa mikono mitupu😂
I got u

Mechi za mwishoni uefa na ligi inabidi tuwe na full squad

Game 10 za mwishoni za kumaliza ligi partey aanze kutumika hapo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Bingwa which...bingwa who...bingwa how🤠🤠...ww na sisi hatuna tofauti sana wte tunaombea mabaya City asianze zile marathon zake maana pumzi hyo hatuna
Endelea kujilinganisha na sisi wakati huna kikombe hata Cha chai halafu unaona tuko sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom