Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
"Sasa anakaribia miaka mitano Arsenal, na katika hiyo mitano, ametumia mitatu kupambana tusishuke daraja"hamis77 hebu tusaidie sisi #artetaout.
Hivi kwenye ligi hii kuna manager mwingine ambaye amekuwa head coach au manager kwa mara ya kwanza kama Arteta? Yaani hajatoka kuwa manager wa timu nyingine kabla?
Nikitafakari naanza kuona kama jamaa ana potential. Kakaa chini ya miaka minne na Pep kama msaidizi. Sasa anakaribia miaka mitano Arsenal, na katika hiyo mitano, ametumia mitatu kupambana tusishuke daraja, kurudi top 4 na sasa inaonekana kama miaka miwili anapambania ubingwa. Si haba.
Ukiangalia wahasimu wake wakuu ni Pep na Klopp, wanaosemekana bila shaka kuwa makocha bora duniani, walioingia kwenye timu zao za sasa wakitoka kupata mafanikio timu kubwa tu kabla ya Man City na Liverpool.
Je Arteta aendelee kupewa muda? Je unadhani Arteta anaweza kweli kutwaa ubingwa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kidela muogope Mungu ndugu yangu.
Miaka 3 ipi timu ilitaka kushuka daraja halafu Arteta akapambana ili isishuke?
Sema Arteta kakaa karibu miaka 5 bila ya kombe lolote la maana zaidi ya mwanaFA pamoja na bakuli la ngao ya jamii hapo utaeleweka vizuri ndugu yangu.