HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,593
- 6,932
Naona umeamua kuweka na hisabati kabisa hapo ili Manyumbu watakaotembelea huu uzi wajue umepataje miaka 20.uzuri wa ASENYO domo wanapiga wao kombe wanabeba wengine.
Nawakumbusha mna miaka 20 (2024-2004=20) hamjagusa kombe lolote kubwa narudia tena Lolote lile.
sasa Miaka 20 Umri wa mtu mzima alieanza kudondosha sabuni bafuni kisa nyeto.
Miaka 20 kwenye mpira tumejifunza si mingi. Kimzaha mzaha tu unashangaa imefika na wadau watapiga domo balaa kuwakumbusha. Manyumbu wana hatari ya kujikuta na hali hii wasipojirekebisha.
Sisi katika hicho kipindi tumeambulia FA cup na kukosa kosa Champions league. Manyumbu wana carabao cups za kuzugia.

