Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna kitu kinanitatiza. Rice ni mrefu, namtaka awe ndani ya box anagombania mipira iliyokufa. Lakini anapiga mipira iliyokufa na delivery yake ni nzuri na tunapata mabao kutokana nayo. 🤔🤔
 
Walipoingia wavunja Kuni kina Nketiah ,elneny nikajua hatuongezi Tena goli

Ødegaard kapiga pass 117 Toka waanze kuchukua data 2004 hajawahi tokea mchezaji akapiga pass nyingi hivo ,plus 2 assist,
Hamis , the comedy wa Mkuranga

Ama kwa hakika mganga mliyempata Kule Dubai dawa zake kali ,
Yaani ninyi ndio wa kuwabonda sita Westham ,aiseee

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…