Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Penalty
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Moyes atajuta leo kavamia choo cha kikeWazee wa kupeana moyo naona mpo wakuu.
Sisi tunapita pita hapa in case mgonjwa akifa tufukie haraka haraka[emoji41]
sasa mbona mashabiki wanaondoka? kwani ars tumemkera nani
Walikuwa na matokeo yao mfukoni Hawa ndugu zetu wa West Ham🤠🤠🤠....hii statement tunayotoa leo na hiki kikosi kilichokosa baadhi ya majembe yetu litakuwa ni fundisho zuri sanasasa mbona mashabiki wanaondoka? kwani ars tumemkera nani
Usilinganishe level zenu chelkenge & manyumbu na arsenal the gunnersUnaota ukiwa wapi?