Bora Manchester City wachukue Ubingwa Mara 10 mfululizo kuliko arsenal kuchukua mara moja…![]()

Wanga bhanaamka, usije ukasema hatujakuamsha.Tusipochukua points 3 pale Etihad, niulizwe Mimi
Nyumbu na Kenge tutawafanyia udhalilishaji
Ndugu kuifunga city yenye Rodri ni NGUMU kulingana na takwimu,ukimuongeza KDB na fit Halland inakuwa NGUMU ZAIDI.kipara akiingia mechi hiyo yuko juu ya table ni NGUMU KULIKOMy feeling,tunaenda kuchukua point 3 pale pale Kwa city
Hujui mpira.Ndugu kuifunga city yenye Rodri ni NGUMU kulingana na takwimu,ukimuongeza KDB na fit Halland inakuwa NGUMU ZAIDI.kipara akiingia mechi hiyo yuko juu ya table ni NGUMU KULIKO
Wewe unaejua mpira andika tuone mipasho ni ya wamama na wadadaHujui mpira.
namtizama.. naona hana sana cha ku add zaidi ya urefu alionao.Is Osimhen a prolific striker? My verdict is NO
Kwani kuwa na mchezo mkononi ni kushinda au. Mnampa sifa nyingi man city lakini mpira wake msimu huu sio sawa na msimu uliopita.Katika timu 20 timu 11 hazijasajili Arsenal ikiwemo.
Na wagombea ubingwa wa ligi wakiwemo.
Hii inamaanisha wagombea ubingwa wote wameamua kuendelea vile walivyokua.
Shida iko hapa
Arsenal kashasuluhu na kupoteza games nyingi pia amepoteza game kwa inconsistence ya VAR na kwa kutokuepo ST.
Wakati wagombea wenza hawahofii VAR na wana ST.
Kwa mimi ninaona ligi kwetu kwa sasa ni long shot. CL kama tournaments zingine hutegemea bahati na mipango. Uamuzi ni wa kocha wapi tuwekeze nguvu zaidi.
Liva aliachwa point moja na City hakumkamata akafocus na CL. Kimahesabu City anaongoza tena ligi mpaka muda huu.
Tukitoka bila kombe sitashangaa
Kwani kuwa na mchezo mkononi ni kushinda au. Mnampa sifa nyingi man city lakini mpira wake msimu huu sio sawa na msimu uliopita.
Msimu huu wale big six sijui big four hakuna aliyetufunga Arteta amejua kuzicheza hizo mechi.Wewe unaejua mpira andika tuone mipasho ni ya wamama na wadada
hamis77 hebu tusaidie sisi #artetaout.
Hivi kwenye ligi hii kuna manager mwingine ambaye amekuwa head coach au manager kwa mara ya kwanza kama Arteta? Yaani hajatoka kuwa manager wa timu nyingine kabla?
Nikitafakari naanza kuona kama jamaa ana potential. Kakaa chini ya miaka minne na Pep kama msaidizi. Sasa anakaribia miaka mitano Arsenal, na katika hiyo mitano, ametumia mitatu kupambana tusishuke daraja, kurudi top 4 na sasa inaonekana kama miaka miwili anapambania ubingwa. Si haba.
Ukiangalia wahasimu wake wakuu ni Pep na Klopp, wanaosemekana bila shaka kuwa makocha bora duniani, walioingia kwenye timu zao za sasa wakitoka kupata mafanikio timu kubwa tu kabla ya Man City na Liverpool.
Je Arteta aendelee kupewa muda? Je unadhani Arteta anaweza kweli kutwaa ubingwa?
Squad depth ikiwa sawa je? Unaona kama Arteta anaweza kubeba kombe?Ubingwa comes through having sizesble squad depth. Often times we drop points between march and april, sijui kama hatutakuwa na majeruhi ya key players kipindi hicho
Ni pimbi tu ndo ataweza kumfananisha Arteta na kina Klopp na Guardiola....wale wamesha manage timu almost tatu Kila mtu kwhyo Wana experience ya kutosha...Arteta alikuwa msaidizi kwa Guardiola pale City akajifunzafunza then akaja kupewa timu imeshaharibiwa kwlikwli na Mr Good ebening..ameitoa alikoitoa huko mpk kaifikisha hapa ilipo sasahv halafu atokee mtu aseme jamaa hakuna kitu🤠🤠🤠...ila watu wajuaji sana....angalia Diego Simione El Cholo pale Atletico Madrid ana miaka mingapi na ana makombe mangapi ndo ujue hizi kazi zilivyo ngumu....Arteta yupo sana Arsenal tena sasahv anavyomwagiwa mahela asuke bomu moja matata ndo kabisaaa....wapinzani wajiandae🤠🤠hamis77 hebu tusaidie sisi #artetaout.
Hivi kwenye ligi hii kuna manager mwingine ambaye amekuwa head coach au manager kwa mara ya kwanza kama Arteta? Yaani hajatoka kuwa manager wa timu nyingine kabla?
Nikitafakari naanza kuona kama jamaa ana potential. Kakaa chini ya miaka minne na Pep kama msaidizi. Sasa anakaribia miaka mitano Arsenal, na katika hiyo mitano, ametumia mitatu kupambana tusishuke daraja, kurudi top 4 na sasa inaonekana kama miaka miwili anapambania ubingwa. Si haba.
Ukiangalia wahasimu wake wakuu ni Pep na Klopp, wanaosemekana bila shaka kuwa makocha bora duniani, walioingia kwenye timu zao za sasa wakitoka kupata mafanikio timu kubwa tu kabla ya Man City na Liverpool.
Je Arteta aendelee kupewa muda? Je unadhani Arteta anaweza kweli kutwaa ubingwa?
Nadhani unaweza kusema kwamba Arteta alivyoanza, hawa miamba wawili walikuwa wamemuacha nyuma sana. Lakini sasa unaona nayeye amewafukuzia mpaka amewafikia kiasi fulani. Sasa anaenda nao bega kwa bega. Kwa mwenendo huu, anaweza kuanza kuwapita.Ni pimbi tu ndo ataweza kumfananisha Arteta na kina Klopp na Guardiola....wale wamesha manage timu almost tatu Kila mtu kwhyo Wana experience ya kutosha...Arteta alikuwa msaidizi kwa Guardiola pale City akajifunzafunza then akaja kupewa timu imeshaharibiwa kwlikwli na Mr Good ebening..ameitoa alikoitoa huko mpk kaifikisha hapa ilipo sasahv halafu atokee mtu aseme jamaa hakuna kitu🤠🤠🤠...ila watu wajuaji sana....angalia Diego Simione El Cholo pale Atletico Madrid ana miaka mingapi na ana makombe mangapi ndo ujue hizi kazi zilivyo ngumu....Arteta yupo sana Arsenal tena sasahv anavyomwagiwa mahela asuke bomu moja matata ndo kabisaaa....wapinzani wajiandae🤠🤠
Squad depth ikiwa sawa je? Unaona kama Arteta anaweza kubeba kombe?
Huu ndio ukweli mchungu kaka ambao wengi wa mashabiki hawauoni au hawapendelei iwe hivi lakini ndio jambo nalo liona linaweza kutokea kwa urahisi sana kwa kuwa kipara kwenye miezi hii akikuwashia turbo kwenda kumpata ni akishavaa medali😂😂😂....Katika timu 20 timu 11 hazijasajili Arsenal ikiwemo.
Na wagombea ubingwa wa ligi wakiwemo.
Hii inamaanisha wagombea ubingwa wote wameamua kuendelea vile walivyokua.
Shida iko hapa
Arsenal kashasuluhu na kupoteza games nyingi pia amepoteza game kwa inconsistence ya VAR na kwa kutokuepo ST.
Wakati wagombea wenza hawahofii VAR na wana ST.
Kwa mimi ninaona ligi kwetu kwa sasa ni long shot. CL kama tournaments zingine hutegemea bahati na mipango. Uamuzi ni wa kocha wapi tuwekeze nguvu zaidi.
Liva aliachwa point moja na City hakumkamata akafocus na CL. Kimahesabu City anaongoza tena ligi mpaka muda huu.
Tukitoka bila kombe sitashangaa
Nadhani hatukuwa na mkwanja. Huenda tungemchukua Ivan Toney kama tungeweza bila kukiuka FFP.Katika timu 20 timu 11 hazijasajili Arsenal ikiwemo.