adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,787
- 37,796
False hopes ni mbaya sana ,zinaleta athari kubwa kisaikolojia ..
Ndio huyo kilaza wenu anakwambia Madrid hamna kitu, kisa kafungwa na valencia na kudroo na betis, jaribu wewe sasa uone mziki.Football ya kijinga sana
Chelsea anachukua points 6 kwa Fulham, sisi tumeokota 1
Ø inapendekezwa acheze karibu na Martinelli, so lcm is the perfect suit for him, Ø ni kati ya wachezaji tunawaita the ball to feet players, Martinelli ni behind runner nadhani unaona hiyo combination itakavyokuwa kuliko kuwa na havertz & Martinelli on the same side wakati wote ni runners. Mfano km Arsenal tutampata Leao inaonekana Nelli atakuwa striker sababu ana potential kubwa akiwa karibu na goli.Odegard akae position gani? Au aondolewe kabisa?
Nketiah huyu dogo ndio untouchable?
I got u broo [emoji106]Ø inapendekezwa acheze karibu na Martinelli, so lcm is the perfect suit for him, Ø ni kati ya wachezaji tunawaita the ball to feet players, Martinelli ni behind runner nadhani unaona hiyo combination itakavyokuwa kuliko kuwa na havertz & Martinelli on the same side wakati wote ni runners. Mfano km Arsenal tutampata Leao inaonekana Nelli atakuwa striker sababu ana potential kubwa akiwa karibu na goli.
Despite all, tunahitaji sold midfieldKati ya Leao na Osimhen unamchukua yupi? Na kwanini? Binafsi nakubali kumpata Leao na Martinelli akasogea kuwa CF. Mpira wetu unapendeza zaidi tukiwa na WC wingers, tumejijenga kutengeneza mashambulizi kupitia wingers kwa kipindi hiki cha miaka 3 nyuma.
Hivi mnacheza lini ninyi tuje kuwajazia nzi tena mpaka mkimbie hiki kijiwe Chenu ?, au bado mji Dubai mnanengua Tu ?, maana mna hali mbaya sana ninyi majirani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Despite all, tunahitaji sold midfield
Midfield ya mtu che pale Kati, wawili wawe typically 8 and 6
Tuwe na dynamic flow nzuri ya offensive and defensive. Partey is back, ila ni vizuri tukaongeza mtu pale Kati mwenye u-partey ndani yake
Ina case partey au rice mmoja akiumua tuwe stable
Incase tukipata forward pia itakua sio mbaya
Saka, martinel, Jesus, Kai, Trossad
Nina imanai nao Sana na uzuri wake wameshazoeana Hawa.
Wanachokosa ni strong backup kutoka midfielders. Sometimes timu inajikuta ishuke Sana chini tuwe more compact
Midfielders iwe hivi;. Odegard. Partey. Rice
Runners za saka na martinel utaziona
Jesus/Kai runs in and out utaziona
Transitional football or tik-taka
Positional play
huu ukame wa goals utaisha kabisa
Rowe, Nelson
Hawa Kama wanahitaji muda zaidi
Nketiah awekwe sokoni, demand yetu ni kubwa kuliko uwezo wake
Acha roho mbaya kaka[emoji16][emoji16][emoji16]Hivi mnacheza lini ninyi tuje kuwajazia nzi tena mpaka mkimbie hiki kijiwe Chenu ?, au bado mji Dubai mnanengua Tu ?, maana mna hali mbaya sana ninyi majirani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si kazi yetu ni kuwasagia kunguni tu mpaka muonje tena machungu ya kukosa kucheza hata Europa ,
Ni dharau sana Arsenal kucheza UEFA halafu Timu kama Chelsea tunakosa hata Europa ,no way
Lazima mrudi kurithi nafasi yenu ya 8
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si sasa hivi ni kuwatupia laana tu mrudi kurithi nafasi yenu ya 8
Anaitwa Hamisi. Mzee wa super computerNdio huyo kilaza wenu anakwambia Madrid hamna kitu, kisa kafungwa na valencia na kudroo na betis, jaribu wewe sasa uone mziki.
Nianavyo kumbadili Odegaard kutoka RCM kwenda LCM ni kumpotezea ufanisi wake hua akiwa pale alipo sasa hua anauona uwanja vizuri ikiwa ni pamoja na kuona nafasi za kupiga pasi zake zahatari na pia anapata nafasi ya kuweza ku attack na kukata ile mipira yake vizuri kwenye attempts anazofanya. Kwa jinsi tunavyocheza sasa ukimuondoa pale jua tunazidi kuiua timu labda arteta aje kubadili mfumo wa kiuchezaji.Ø inapendekezwa acheze karibu na Martinelli, so lcm is the perfect suit for him, Ø ni kati ya wachezaji tunawaita the ball to feet players, Martinelli ni behind runner nadhani unaona hiyo combination itakavyokuwa kuliko kuwa na havertz & Martinelli on the same side wakati wote ni runners. Mfano km Arsenal tutampata Leao inaonekana Nelli atakuwa striker sababu ana potential kubwa akiwa karibu na goli.
Upo mkuu🙂Huu musimu sisi arse 8 tutabeba epielo na yuefa 😫😫😫 makombe ya mbuzi tuwachie livakuku na manjesta 😊😊😀😀
Expectations Vs RealityAnaitwa Hamisi. Mzee wa super computer
Hivi huyu si wanasema beki hazikabi?