zege la nyasi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 938
- 1,258
Januari hii asenali ndio ameanza ligi mitandaoni ila kiuhalisia manisiti ndio ameanza ligi 😂😂😂
Picha linaanza uzi wameukimbia. Tulishazoea vichekesho kutoka humu ndani , kupunguza stress za hapa na pale. Tuwaombe ndugu zetu warudi kutuburudisha. Tumemiss kauli kama ''wakiamua kupishana na sisi, ku overload, kuchange position, aerial duels, ku invert''Januari hii asenali ndio ameanza ligi mitandaoni ila kiuhalisia manisiti ndio ameanza ligi 😂😂😂
Wakiongozwa na comedian maarufu kutokea Mkuranga Hamis Hamis 7Picha linaanza uzi wameukimbia. Tulishazoea vichekesho kutoka humu ndani , kupunguza stress za hapa na pale. Tuwaombe ndugu zetu warudi kutuburudisha. Tumemiss kauli kama ''wakiamua kupishana na sisi, ku overload, kuchange position, aerial duels, ku invert''
Subiri tukutane tuwapige tatu mtulieNyie Zubimendi FC mbona mmeukimbia uzi
Tetesi za Zubimendi hatuzioni tena
Wapi tetesi za Toney
Hahaaa ,eti zubimendi Fc [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyie Zubimendi FC mbona mmeukimbia uzi
Tetesi za Zubimendi hatuzioni tena
Wapi tetesi za Toney
Hamna huo ujanja the butcher amerudiSubiri tukutane tuwapige tatu mtulie
Huyu Zubimendi wanamuimba kila msimu😂 nashangaa sizioni habari zake jukwaaniHahaaa ,eti zubimendi Fc [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au Partey FC .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asenyetoz , yatima wa Wenger
Wana mbwembwe sana hawa jamaa, wasijue Stan Kroenke naye anahitaji faida.Huyu Zubimendi wanamuimba kila msimu😂 nashangaa sizi9ni hahari zake jukwaani
Badili ID mkuuKikundi cha wahuni hiki mpira hawajui.
Arteta ndo pimbi namba moja.