Kwenda Dubai kutasaidia vipi kubadilisha kiwango kibovu cha hivi karibuni?ni kupoteza muda tu kwenda Dubai kama striker ni Nketiah sioni jipya zaidi ya may be kwenda kurefresh mind tu



Uko sawa kabisaKwenda Dubai kutasaidia vipi kubadilisha kiwango kibovu cha hivi karibuni?ni kupoteza muda tu kwenda Dubai kama striker ni Nketiah sioni jipya zaidi ya may be kwenda kurefresh mind tu
Kwa hiyo Nketiah ndio anaenda kunolewa kupiga mashutiHuko Dubai tumeenda kufanya mazoezi ya kupiga mashuti, a.k.a madongo. Tukirudi makipa wenu wajiangalie vizuri. Ni madongo kwenda mbele. Yani wasipokiwa makini hata Raya na Rambo watashinda



Hawa jamaa wameanza kwenda gym moja na Adama Traore
Sisi kama arsenal msimu huu hatuachi kombe lolote kesho ndyo tunaanza ligi sasa
Arsenal bingwa EPL NA UEFA
COYG FOREVER![]()



Tafsiri yake usipopigwa magoal, Basi utapigwa ngumi



Hii picha imechezewa eee,hao mbona wamekuwa mambavu?
Nimeona taarifa kuwa Arsenal wanatafuta FB, Ben white ni mchezaji mzuri sn lakini binafsi naamini toka zamani Ben white hafit kwenye ile position, Ben white ni CB, kama tukipata fb mzuri km Anorld kwenye ule upande wa RHS kutakuwa na magoli mengi sana, imani yangu ni kama tacticos wengi wa twitter wanavyofikiri, japo wao wanalalamika kwamba Ø aondolewe kwenye that RCM position, na fact yao ni kwamba hawezi ku overlapp hivyo ana limit Saka's potential on that side, mimi pia nakubali kwa principle moja kama utambakiza Ø basi White aondolewe atafutwe mtu anayepiga cross nzuri na km Ø anatoka basi ikitokea white anabaki km Fb hakuna shida.
Odegard akae position gani? Au aondolewe kabisa?Nimeona taarifa kuwa Arsenal wanatafuta FB, Ben white ni mchezaji mzuri sn lakini binafsi naamini toka zamani Ben white hafit kwenye ile position, Ben white ni CB, kama tukipata fb mzuri km Anorld kwenye ule upande wa RHS kutakuwa na magoli mengi sana, imani yangu ni kama tacticos wengi wa twitter wanavyofikiri, japo wao wanalalamika kwamba Ø aondolewe kwenye that RCM position, na fact yao ni kwamba hawezi ku overlapp hivyo ana limit Saka's potential on that side, mimi pia nakubali kwa principle moja kama utambakiza Ø basi White aondolewe atafutwe mtu anayepiga cross nzuri na km Ø anatoka basi ikitokea white anabaki km Fb hakuna shida.