lugano GTB
Senior Member
- Oct 23, 2020
- 119
- 181
Inakuwaje timu inataka kufunga goli zote kwa pasi hadi golini....tangu wamuuze shaka magoli ya nje ya 18 yamepungua na sijui kwa jinu hawapangi Vieira anajua magaoli ya mbali....Na striker no.14 apewe muda mwingi


Rwanda

