Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Na hii ndio asenali๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚,arteta kashajichanganya na ataendelea kujichanganya,

Ngoja asisajili kama anavyotaka wamrarue mpaka ashangae๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚....

Wazee wa feziiii hii fezi ya ngap vile?

Kiwia,nelson,elneny,nketiah n kama nyanya za nyongeza tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ewaaa umeliona hilo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚...

Yaan kama moyeziiii ndio atampiga mpaka akili imkae sawa
 
Arteta amekwama wapi, mbona alikuwa dereva mzuri tu msimu uliopita
Aah!, nimegundua, kumbe mmeyarudia yale matapishi ya Chelsea ya akina Luis, Willina na Cech, Hamjifunzi tu

Uza hawa wachezaji na timu itarudi ya mwaka jana
Havertz - 20M
Jorginho 5M

Mtubu halafu mumrudishe Xhaka arudi kwenye nafasi yake
Tubuni pia kwa Partey kwa kumshushia heshima yake

Mkiweka midfield ya hivi mtakuwa solid


Xhaka --------Partey ---------Rice

Halafu muache kucheza kama city
Msimu uliopita mlikuwa na staili yenu ya total direct football mkaacha mkaamua kuiga mpira wa kuchosha wa kipara wa side na back passes nyingi, through passes hamchezi tena
 
Timu yetu ni wapi imekosea?

Timu ambayo imepata ushindi wake wa kwanza dhidi ya City, toe to toe na Liver mbona ghafla inaonekana kama vile haitakuja ondoka na chochote?

Tunafungwa magoli ya namna gani? Ni set pieces na hizi long balls. Kocha wa set pieces anafocus na offensive ya set pieces kuliko defense.

Tunatengeneza chances ila hatuna scorer. Best shooter hana service, our ST's strength siyo kuscore. Our best scorer anahitaji chances 3 kuscore goli 1.

Tunaamini tunahitaji ST na atasajiliwa January, ila Arteta kasema hana mpango wa kusajili. Mchezaji tunayehusishwa naye tunaambiwa tunatakiwa kulipia karibu na 80M. Huyu mchezaji hajacheza kwa mwaka mzima.

Hizi defeats ni blessings in disguise? Kwamba kwa tunachofanywa itawafosi Arsenal kusajili? Au ni haijalishi?
 
Masingeli banaaa
Haya tumeshakiona kipigo cha mbwa koko.
Tumejitoa kwenye kombe la FA ili tufocus kwenye PL na Uefa(false hopes Fc)

Sent from my Infinix X6831 using JamiiForums mobile app
Mlevi yule, alipoanza kusema Mardid, bayern ni timu za kawaida. Pia Halland ni mchezaji wakawaida.Anakwambia Halland na Jesus anachukua Jesus hapa ndio nilianza kumuona kichwani hayupo sawa.
Hlf kuna kigenge chake hapa cha Hamas kinamuunga mkono.. Yan kwl unafiki hautakaa uishe dunian mkuu.
 
Liverpool Leo anatakiwa apigwe kipigo Cha mbwa Koko
Muzee ya Magrafu upo !!??...... Leo tuletee magrafu ya Arteta mwenyewe maan haya ya Wachezaji tumeyachoka

Nyie arsenal na man utd mna midomo sana wakati Timu zenu zenyewe hali zake mnazijua mngekuwaga tu mnakaa kimya,

Mtuache watu tunaoshabikia timu za maana tutambe humu jukwaani.....Mashabiki wa Man city na Sisi Liverpool ndo inafaa tutambe mitandaoni maana Liverpool EPL tumetoka kulibeba juzi juzi tu hata Fingerprint za wakina Salah bado hazijatoka kwenye Lile kombe.
 
Kweli kabisa, very predictable. Mpira ule ule shwain.
 
Li supa kompyuta linasema hivi:-

1. Carabao cup๏ฟผ : โŒโŒโŒโŒ

2:EPL loading : โŒโŒโŒโŒ

3: UEFA loading: FALSE HOPE๐Ÿ”ž

4: FA Cup : FALSE HOPE: โŒโŒโŒโŒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ