Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu hii ni FA? Yaani tangu tuanze kuchezea I don't bother, we've been shit and crap!
 
Heshima ziwaendee Xhaka na Partey.........haki nawaambieni hawa jamaa walikuwa watu kweli kweli....hata hizo tactics zote mnazozungumza wao ndio walikuwa mastermind.......Now we need a proper striker
Niliwahi sema humu kwamba ode ni mlaini sana.ili upate ubora wake lazima azungukwe na quality sana hasa yenye work rate na dirt work kubwa.he is fragile with quality needed
 
Niliwahi sema humu kwamba ode ni mlaini sana.ili upate ubora wake lazima azungukwe na quality sana hasa yenye work rate na dirt work kubwa.he is fragile with quality needed
Kweli mkuu......hata Rice sio mzuri sana ofensively.........Partey na Xhaka waĺkuwa wazur sana wanapokaribia lango la wapinzani.....mimi kwangu kwa mwaka jana tulihitaji kuboresha tu kwenye defence yetu kwa kumwongeza Rice acheze na Partey na Xhaka.......Rice akabe,xhaka na partey waweze kwenda juu....Halafu badala ya kumnunua Raya Ramsdale angebaki langoni tu hiyo hela tungeweka kwa fullback 3........siku moja niliwahi msikia sijui nani anasema "Arteta is trying to fix something that hasnt broken".......yule mchambuzi nilimuelewa kwamba manunuzi ya Raya hayakuwa ya lazima badala yake naona kama yangeelekezwa eneo lingne uwanjani.......Arteta na Edu watajifunza meng sana hii season.....Wakuu tustegemee kitu this season
 
Sbr kama utamuona hapa huyu tapeli.

Yani ni kama mwehu.

Akija hapa na porojo zake za vijiweni utadhan team hii haina mpinzan dunian.
Mlevi yule, alipoanza kusema Mardid, bayern ni timu za kawaida. Pia Halland ni mchezaji wakawaida.Anakwambia Halland na Jesus anachukua Jesus hapa ndio nilianza kumuona kichwani hayupo sawa.
 
Mnajipa stress bure ndugu zangu wa Arsenal. Mimi nilishajionea na kuweka wosia hapa. Ninashabikia hii timu tangu miaka ya tisini na huwa siwezi ku tolerate stupidity.

Nilirudi kuipa shout out Arsenal baada ya progress ya mwaka jana ila tulipotolewa europa na sporting cp halafu tukapoteana ligi kuu nilikuwa so suspicious.

Sasa kwa aina hii ya timu ninarudi zangu likizo mpaka atakapopatikana kocha wa kueleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…