SaanaRound ya 2 ,Kiungo chenye Partey na Rice ,tutaokota points nyingi sana
WhyElanga ni aina ya mchezaji hatokuja sajiliwa na timu kubwa
Anazima mashambulizi ya wenzake.
Yule mjinga wa Nyukesto haonekani kabisa hmu....mikwara mingiii...tulishamwambia top 4 aisahau...anatutishia kina Gordon hmu...Nyukesto wanaongozwa 3
Hata Isack naona ataishia West Ham huko, timu kubwa epl simwoni kabisa!!Elanga ni aina ya mchezaji hatokuja sajiliwa na timu kubwa
Hawezi kuonekana Kaka😂😂😂Yule mjinga wa Nyukesto haonekani kabisa hmu....mikwara mingiii...tulishamwambia top 4 aisahau...anatutishia kina Gordon hmu...
Yule jamaa mshamba sana...watu tulishafanya analysis ya kile kikundi chake tukaona aina ya uchezaji wao ni wa kufanya vurugu tu sio kutembeza bolu akawa anatutishia na kina sijui Wilson sijui Gordon...haya kiko wapiHawezi kuonekana Kaka😂😂😂
Labyrinth 84Yule jamaa mshamba sana...watu tulishafanya analysis ya kile kikundi chake tukaona aina ya uchezaji wao ni wa kufanya vurugu tu sio kutembeza bolu akawa anatutishia na kina sijui Wilson sijui Gordon...haya kiko wapi
Ila Elonga katoa assist mbili za goli KakaAnazima mashambulizi ya wenzake.
Mchoyo.
Ana mapepe mbele ya goli.
Anacheza na mashabiki

astaghafillahYeah, game umeicheki?Ila Slangs katoa assist mbili za goli Kaka
Anasubiri ikitokea tumedondosha point ndo aonekane....ajiunge na Mkohoti watapendeza sana...maana kukandia wanajua🤠🤠🤠....mpk February mashabiki wa timu zte watakuwa wameungana kuanza kuturushia mawe maana tutakuwa tumefungua gepu la point 6+Hivi yule kenge wa newcaatle amefia wapastaghafillah
Sawa mkuu sikuwahi kumuangalia kwa jicho hilo.Anazima mashambulizi ya wenzake.
Mchoyo.
Ana mapepe mbele ya goli.
Anacheza na mashabiki
️
️ Newcastle since the day they Robbed Arsenal
3-0 loss to Everton
4-1 loss to Spurs
2-1 loss to Milan
3-0 win vs Fulham
4-2 loss on pens vs Chelsea
1-0 loss vs Luton
3-1 loss to Forest