D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,056
Wapi nitapata ile documentary ya ARSENAL yote?
Kuna clip nimeiona juzi mitaa ya twitter ilinivutia sana na kunipa mzuka wa kuifuatilia full.
Arteta alikuwa anazungumza na jamaa fulani (nimegundua ni josh kroenke) nyakati ambazo mashabiki walikuwa wanataka kichwa chake (afukuzwe).
Kuna mambo mengi ya nyuma ya pazia huwa hatuyafahamu.
Respect kwake josh