Mguu wa kushoto kukabwa na wa mguu wa kulia kuna kauwepesi fulani, haswa kwa mtu ambae anafosi kuchomea ndani.Na sisi tumepata weak side, sidhani kama Gomez atamuweza saka
Sasa hizo sini backline? Sio striker haoLiver backline yao yote haitembei inapaki basi




Sometimes be serious acha utaniHii game tukikosa points 3 itakua aibu Sana, kitu pekee tunacho kosa ni organized attack
Game inamuhitaji Sana Trossad