2-0Dalili za Wenger orphans leo sio nzuri hamis77 ajachangia chochote mpaka sasa wakati ndo mpiga domo namba moja hapa.
kajamaa kako vizuri kunusa siku za vichapo katatulia kimya.View attachment 2850807
Angalia usije likimbia groupLiver uwezo wa kutufunga hawana. Ushindi wao sare. Kama wakitufunga (kibahati), basi wataenda kupoteana kama game 3 hivi, kwasababu ya energy waliyotumia