Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Klop anaomba kelele za mashabiki zimsaidie ata apate sare
Hali ni mbaya sana kwa wapinzani wakikutana na arsenal hii
 
Rice anashika dimba la chini, anapiga spana kiwango cha SGR standard gauge

Zinchenko ana-invert / overload midfielders

Odegard anachezesha timu, sometimes anachukulia mipira chini anakuja nayo juu

Kai anafanya movements za ku-create chaos, disturbance, confusion

Saka na martinel wanatambua uwanja na kuingia ndani

White ana overlap upande wa saka

Klop kaona bila msaada wa kelele za mashabiki hapa kutoboa ni ngumu😄😄😄
 
Arsenal hope to have Takehiro Tomiyasu, Thomas Partey and Mohamed Elneny available for the FA Cup third round clash with Liverpool.

The trio are currently out injured but progressing well and hope to play on January 7 before they head off on international duty. [@sr_collings
Liverpool tena?nilijua ni kina Aston Villa FA Cup

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Ozil alikuwa super master kwny kutoa pasi zile ambazo watu hawazitarajii...he was that good....ila alikuwa hawezi kukaba yaani alikuwa lonyalonya sana....Kai hawezi kufika uwezo wa kupiga hzo pasi hata kidogo...ila ana win mipira ya juu na anakaba sana kusaidia timu ndo maana ana mikadi mingi ya njano🤠🤠🤠....Sasa basi tutasimama na King Kai mpk mwsho na atatupa kombe...Kai mtu sana....sasahv Bora Odegaard asiwepo ila King Kai awepo....napata burudani kumuangalia akifanya movement za kibishoo pale mbele
Duh 😅 bora Kai awepo ila Odegaard asiwepo?

Kai anafanya runs. Ni AM lakini strength yake ipo kwenye runs na siyo anachofanya AM.

Odegaard anakuchukulia mpira chini anapanda nao dimbani. Anaugawa anauomba tena . . .

Reddit kuna jamaa alisema Kai hafai na akasema akifanya vizuri atafutwe. Kuna mshkaji kamtafuta jamaa juzi, na fan base yote ikasema he is improving but not enough kuanza kuwatishia watu.

Sasa yupo safari ya kuimprove mnaanza kusema bora Odegaard asiwepo 😅
 
Duh 😅 bora Kai awepo ila Odegaard awepo?

Nilichomekea kidogo mkuu ila Odegaard huwa ananikera kwny mechi crucial huwa kama anapoteana hivi...ile mechi ya Aston Villa kakosa magoli kipumbavu sana
 
Any newz za Saliba?Inasemekana jana hakufanya mazoezi(from X).
 
Kama ilivyo ada ya EPL, anayemaliza top of the table kipindi cha xmas huwa bingwa wa msimu husika. Leo Villa anacheza na vibonde Sheffield hivyo ushindi ni 99% kwake. Kesho ninyi na Liverkuku mnatoa droo au mnakufa kabisa. Hapo ndio mwanzo wa kuanza kumuona Kai anacheza Arsenal sababu ni shemeji yake Arteta na sio wa kiwango stahiki.
Then mtaanza kuongelea usajili wa Julai wakati tuko Disemba.
False hopers.
 
Ukiendelea hivi ukifika miaka 60 kama hautakua mchawi basi utakua unapaa na ungo angani!

Arsenal itakuja kuwaua kwa presha nyie nyumbu.. pumbaaf!
 
Kama ilivyo ada ya EPL, anayemaliza top of the table kipindi cha xmas huwa bingwa wa msimu husika. Leo Villa anacheza na vibonde Sheffield hivyo ushindi ni 99% kwake. Kesho ninyi na Liverkuku mnatoa droo au mnakufa kabisa. Hapo ndio mwanzo wa kuanza kumuona Kai anacheza Arsenal sababu ni shemeji yake Arteta na sio wa kiwango stahiki.
Then mtaanza kuongelea usajili wa Julai wakati tuko Disemba.
False hopers.
Tuendelee ndugu mchambuzi.
 
Toka Dunia inaumbwa mbinguni na Duniani hadi jehanamu huko kama wapo Hakuna mchezaji yeyote kwenye jersey ya Arsenal alishawahi nyanyua hili kombe ....
mancity-20231223-0001.jpg
 
Back
Top Bottom