makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,754
- 103,690
Kai achukiwe kwa kipi.. Humu sidhani kama tunaweza leta chuki binafsi kwa mtu ambae hatuna muingiliano na wengine hata huku mitaani kuishi kwa chuki hatuwezi.Sema watu mna chuki sana na Kai .. halafu hazina Sababu
Tunapoongea humu ni burudani tu kuchambua mpira, kuelezea kile unachokiona na kukijua kwenye ball.
Si lazima mfanane mawazo, ndio maana mwalimu huyu anaweza mtumia chama, yule akamkataa, huyu akamuona ode hafai, kisha huyu akamuona ode anamfaa. Soka liko hivyo.
Kila mtu ana kitu kimpendezacho kwa mchezaji.

Muundo unaowezekana wa Ligi ya Super umetangazwa.
Timu 64.
Migawanyiko 3 (Nyota, Dhahabu na Bluu) yenye matangazo na kushuka daraja.
️ Michezo 14 kila msimu kwa kila timu.
7 nyumbani.
7 mbali.
Litakuwa shindano la wazi
Awamu mbili: Ligi na mchujo
