arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Hivi vitoto vilituzoea....tushajua namna ya kucheza navyo...ni kuvikaba man to man tu...vinakuwa havina ujanja tena....tulitakiwa tuvipige hata kono la nyani kwa namna tulivyovikosakosa leo....pambafu sana waleKaongea ukweli japo mchungu
Leo gemu tulidorminate yalikosekana mabao tu
| Mikel Arteta on whether Kai Havertz is now putting in the performances he expected: 