Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawa jamaa tokea kipindi cha mzee Wenger mpaka leo wao ni kulalamika tu, kama vipi ni bora wajiite tu Malalamiko Fc.[emoji23][emoji23][emoji23] njama ovu zitoke wapi ? Arsenal ndo timu yakufanyiwa njama kweli? Wachezaji wanajindondosha ovyo halafu mnataka foul au tuta! .
Nyie nendeni kwenye draft labda mtaweza kidogo .
Wao wakishinda huwasikii wakilalamikia VAR wala Refa ila wakifungwa sasa daaaahhh lawama mwanzo mwisho.
Kulialia ni miongoni mwa tabia za false hopers.