Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sijaona taarifa ya arteta humu kawaje maana naskia hayupo kwenye touchline
 
Sasa hapo juzi mtu kamuamini nyukesto kwa kusoma maandishi ya Labyrinth 84 humu.

Leo Bayern, na awe kaamini nyumbu ataongoza 1st half 😂
kidogonataka kuamini maneno ya hamisi kuwa baadhi ya timu zimebaki umaarufu tu wa majina
***** ashachana keka huyu kubwa jinga
 
Castr naangalia game hapa naona ameingia Gnabry. Siku hizi anatokea sana bench na ni injury prone, na bad luck hajamaliza hata dk 3 anarudi tena nje. Nadhani hili ndio jua la jioni kwa huyu Gooner kwenye career yake asee, I feel so sad for him.
 
Mwaka jana tulipigwa na kitu kizito kwli...mi huwa naukubali ukweli kama ulivyo🤠🤠🤠 siishi kwa denial...ila mwaka huu msahau kabisa hilo kosa kujirudia...ila Hawa Nyukesto sijui yaani tulichokisema mwanzo wa msimu ndo hiki kinachoendelea....tukiwaambia Hawa wanatakiwa wajipqnge kwa misimu walau mitatu hvi...kusajili waleta vurugu uwanjani hakuwezi kukusaidia msimu mzima....na nikasema wakikaa vbaya hata Manunu watakuwa juu Yao na tyri ishatokea....Sasa leo tamko lingine wakikaa vbaya hata conference hawatacheza....maana hawana timu Wana wafanya vurugu
@hamis77angesema anawaachia laana hata conference hawatacheza
 
Hii atmosphere ya Deutsche Bank Park, nimeielewa sana. Natamani na pale Emirates kuwe na hii kitu. Jamaa wanashangangilia kuanzia dk 1 with the same energy mpaka mwisho. Yaani hakuna kupoa.
 
Castr naangalia game hapa naona ameingia Gnabry. Siku hizi anatokea sana bench na ni injury prone, na bad luck hajamaliza hata dk 3 anarudi tena nje. Nadhani hili ndio jua la jioni kwa huyu Gooner kwenye career yake asee, I feel so sad for him.
Yeah jamaa alikua hatari at some point, binafsi naamini baada tu ya kumfunga Barca 8 next season akawa average, injuries zikaja n.k.

Misimu miwili nyuma zilizuka rumours kwamba tunamtaka aje kupokezana na Saka. Now jamaa anachohitaji ni one last dance kama Van Persie tu
 
Mwaka jana tulipigwa na kitu kizito kwli...mi huwa naukubali ukweli kama ulivyo🤠🤠🤠 siishi kwa denial...ila mwaka huu msahau kabisa hilo kosa kujirudia...ila Hawa Nyukesto sijui yaani tulichokisema mwanzo wa msimu ndo hiki kinachoendelea....tukiwaambia Hawa wanatakiwa wajipqnge kwa misimu walau mitatu hvi...kusajili waleta vurugu uwanjani hakuwezi kukusaidia msimu mzima....na nikasema wakikaa vbaya hata Manunu watakuwa juu Yao na tyri ishatokea....Sasa leo tamko lingine wakikaa vbaya hata conference hawatacheza....maana hawana timu Wana wafanya vurugu
Iko hivi

Wachezaji na kocha wa sasa wa nyukesto wameifikisha kuweza kuifanya hadi mashabiki waache timu zao na kuifuata.

Sasa hivi wanahitaji wachezaji na kocha wa kuhakikisha hawa mashabiki wapya hawaondoki.

Nilivyomwambia hivi Labyrinth 84 akahisi namdhihaki hajui kwamba huo ndiyo mchakato unavyotakiwa kua. Howe na wale waliopo watakaza miguu kwa Arsenal first leg kisha atafungwa na Bournemouth na Everton, kisha second leg Arsenal atajipigia inakua ni mambo ya mid table team
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom