Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,316
- 3,947
Takwimu hazimfanyi mchezaji kuwa bora zaidi ya mwingine? [emoji23][emoji23] unaelewa unachosema kweli?
Kama stats hazimfanyi mchezaji kuwa bora zaidi ya mwenzake then tuambie tuangalie kipi ilikujua ubora wa mchezaji?
Kwahiyo ki takwimu umeona gordon kamgaragasa huyo saka umekubali haya wewe lete kitu kingine ambacho unaona kinaweza kupima ubora wa mchezaji.