Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mwaka jana tulipigwa na kitu kizito kwli...mi huwa naukubali ukweli kama ulivyo siishi kwa denial...ila mwaka huu msahau kabisa hilo kosa kujirudia...ila Hawa Nyukesto sijui yaani tulichokisema mwanzo wa msimu ndo hiki kinachoendelea....tukiwaambia Hawa wanatakiwa wajipqnge kwa misimu walau mitatu hvi...kusajili waleta vurugu uwanjani hakuwezi kukusaidia msimu mzima....na nikasema wakikaa vbaya hata Manunu watakuwa juu Yao na tyri ishatokea....Sasa leo tamko lingine wakikaa vbaya hata conference hawatacheza....maana hawana timu Wana wafanya vurugu
Do you condemn pumba kujitenga na mchele 3 weeks before the end of the league?
 
Huyo saka kacheza dakika nyingi kuliko gordon na still kazidiwa magoli , wewe unakuja na comparison za aerial duels unaelewa hata maana ya aerial duels kwelii gordon hayupo Newcastle for aerials duels hayo mambo anayafanya joelinton huko .

Na wewe ushaanza kupata trauma nini mkuu
Ile picha unayowalinganisha kaangalie Kama hakuna "aerial duels won"
 
Do you condemn pumba kujitenga na mchele 3 weeks before the end of the league?
Sasa hyo inakuwa sio pumba sasa....maana yke inaonekana kulikuwa na mnyukano mpk karibu na ligi kuisha....ila hzi pumba zngine tyri tupo GW 15 now wameshatupa Taulo...too early...ndo maana tunasema wao ni level za kina Luton Town huko
 
Mikel Arteta juu ya kumsaini Declan Rice:

"Nilipozungumza naye, aliniambia mara nyingi kutoka siku ya kwanza, "Nataka tu kuichezea Arsenal na nataka kucheza na wewe".

Na alishikilia neno lake hadi dakika ya mwisho na tulitosha kumpata."

"Ni mnyenyekevu sana, mcheshi, mchapakazi sana. Anajitolea sana katika kila kitu anachotaka kufanya. Anataka kushinda kila kitu anachofanya.

Amejumuishwa katika timu kwa njia nzuri sana."
 
Mkuu unawatisha watoto ujue.
Hatishwi mtu me nawachana ukweli wa wazi wazi , hawana uzoefu na hizi mbio za ubingwa mimi ambae nimekosa title 2 kwa difference ya point 1 dhidi ya citizen najua njia sahihi sasa wacha wajikanyage.
 
Ni kawaida yenu wazee wasindikizaji

Muda wa kuti kukatika umefika
Ukiweza tushushe
20231203_121757.jpg
 
ushawahii kuuza mchezaji kwa hata 60M tu toka arsenal imeanzishwa? Mlipigwa kwa pepe kwa 72M then mnamuuza kwa 1.5 m . Unajipa false hopes eti saka ni 120M

Gordon kauzwa kutoka everton 45 M sasa unategemea tukiuza tutauza hela ya chini kama nyinyi ?

Hio 45M hakuna mchezaji ameshawahi kuuzwa hela kubwa arsenal kuzidi hela aliyeuzwa gordon kutoka everton nakupa hiii nyingine pia najua ulikua hujuii wacha nikujuze sasa.

Unaposema unauza kwa bei kubwa tuambie toka arsenal imeanzishwa nan aliuzwa kwenda timu nyingine hela iliyozidi 45M , ukionyesha nakupa milion 1 sasa hivi hapa.

Tuliambia ramsdale ana thamani ya shingapi vile? kina holding, pepe, takuma, wachezaji wa paundi moja moja.
Kama kawaida stori ndefu.

Majibu hakuna
 
Kama kawaida stori ndefu.

Majibu hakuna

Jibu hamna tena? Nimekuambia gotdon kachukuliwa kwa 45M akiuzwa itakuwa ni zaidi ya hio 45 ambayo hakuna mchezaji yoyote wa arsenal aliwahi kuuzwa kwa bei hio toka arsenal inaanzishwa.

Saaa nakuuliza wewe mchezaji gani arsenal anewahi kuuzwa kwa dau linalozidi 45 M nitajie mmoja kabla hatujafika kwa hio 120M , taja mchezaji aliyeuzwa hata kwa nusu ya hio bei ?.

Unaleta false hope ya 120M wakati hata 50M hamjawahi kufika yaani nyinyi ni makondoo kwelikweli kuongea vitu vya kufikirika tu
 
Ule Uzi wao wa Newcastle wameukimbia

Walikuwa wawili mmoja kaona hali mbaya kakimbia ,mmoja kaona anajiongelesha mwenyewe ndipo kakimbilia humu ,msipompa airtime sijui ataenda wapi
Kumbe dawa ni iyo tu kumuangalia na kumuacha eeh,

Safi kabisa
 
Jibu hamna tena? Nimekuambia gotdon kachukuliwa kwa 45M akiuzwa itakuwa ni zaidi ya hio 45 ambayo hakuna mchezaji yoyote wa arsenal aliwahi kuuzwa kwa bei hio toka arsenal inaanzishwa.

Saaa nakuuliza wewe mchezaji gani arsenal anewahi kuuzwa kwa dau linalozidi 45 M nitajie mmoja kabla hatujafika kwa hio 120M , taja mchezaji aliyeuzwa hata kwa nusu ya hio bei ?.

Unaleta false hope ya 120M wakati hata 50M hamjawahi kufika yaani nyinyi ni makondoo kwelikweli kuongea vitu vya kufikirika tu
Lete data zinazosupport unachosema juu ya Gordon. Na kupinga ninachosema
 
ushawahii kuuza mchezaji kwa hata 60M tu toka arsenal imeanzishwa? Mlipigwa kwa pepe kwa 72M then mnamuuza kwa 1.5 m . Unajipa false hopes eti saka ni 120M

Gordon kauzwa kutoka everton 45 M sasa unategemea tukiuza tutauza hela ya chini kama nyinyi ?

Hio 45M hakuna mchezaji ameshawahi kuuzwa hela kubwa arsenal kuzidi hela aliyeuzwa gordon kutoka everton nakupa hiii nyingine pia najua ulikua hujuii wacha nikujuze sasa.

Unaposema unauza kwa bei kubwa tuambie toka arsenal imeanzishwa nan aliuzwa kwenda timu nyingine hela iliyozidi 45M , ukionyesha nakupa milion 1 sasa hivi hapa.

Tuliambia ramsdale ana thamani ya shingapi vile? kina holding, pepe, takuma, wachezaji wa paundi moja moja.
Nazan wewe kama walivyosema wadau wewe ni wa kupuuuzwa timu yako itapokuwa itapokuwa na hadhi ya kujib, nyumbu na kenge tunaeza kukaa nao meza moja tukazungumza siyo wewe
 
Nakuuliza tena nitajie mchezaji yotote yule ambaye ameweza kuuza kwa zaidi ya 45M pale arsenal sio unaongelea tu 120M wakati hata 45M hamjawahi kuuza

Nina milion 1 hapa nitajie mchezaji mmoja tu wa arsenal ambaye amewahi kuuzwa hela ambayo everton wamemuuza gordon kwenda Newcastle.

Humu muda mwingine mpaka nashangaa mtu hana hata data anaongea tu eti 120M saka wakati hata kuuzwa kwa 45 hamjawahi. Mwehu ni nan hapa ? Anayeongea mwenywe tu ama?
Nimekuuliza kama kuna timu kubwa imewahi kumtaka Wilson
 
Labyrinth 84

Kuna timu kubwa imewahi kumtaka Wilson?

As of now kuna timu imeonyesha kumtaka mchezaji yeyote wa nyukesto?

Kiwior. Anakaa bench Arsenal, Juve inamtaka
 
Back
Top Bottom