Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna fan wa aseno wanatutia aibu sana😂😂😂😂😂

Nyie pambanenni kivyenu
Lakini eti Kuna mtu anategemea nyumbu imvushe dhidi ya ushindani wa Liverpool

Akiyanani maajabu hayaishi🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nyumbu anakuja kukuvuta mkia

Mark my words

Nitakukumbusha tu , Liverpool bado hamna elite team
 
“Nilipofika Arsenal nilikuwa na umri wa miaka 17, nikasaini mkataba wangu wa kwanza na mshahara wa Euro 15,000 (Sh40 milioni) kwa wiki. Hivyo nikataka kufanya vitu kama wanavyofanya mastaa wakubwa wa Arsenal. Nikasaini dili la kuchukua gari kama la Thierry Henry aina ya Lincoln Navigator. Baada ya miezi miwili nikalirudisha, linakunywa mafuta kama wazimu. Nikawaambia chukueni gari lenu nipeni Toyota,”



kauli ya kiungo wa zamani wa Arsenal, Alex Song.
 
Well said mkuu

Comment hii ina-justify Villa kufa tatu kavu
 
Unajua lini mlichukua EPL lakini?

Unajua lini ulimfunga liver?

Yaani aseno bana ni wazee wa matumaini hewa
Kwni nyinyi mmetufunga lini mara ya mwsho....mwaka jana si mlituchangia point 4 kwny lile kapu letu🤠🤠🤠...mwaka huu mtatupa sita kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…