Kilichonichekesha ni kwamba Pep alifanya sub zake Emery akawa katulia tu. Sub zimeingia na chuma kikasoma.
Kama hujacheck mechi jana Luiz na Kamara wamenyanyasa mid, Bailey na Mc Ginn wamesumbua pembeni vibaya mno.
Walikua wakipata mpira hao watu hawautoi kwanza, ama wanafanya take on au wanasubiri mtu aje anamchambuliwa yeye na mwingine atakayejipendekeza halafu ndiyo wanasonga mbele.
Ilikua mechi nzuri ila inafikirisha kujua ndiye mpinzani anayefuata, mechi nzima City kapiga mashuti 2 tu, Villa kapiga shots 22.
Mancity Wana winger asilia mmoja tu Doku, Grealish pia sio natural winger Ni no.10, ndio maana ana namba chache Sana, Ni mzuri kwenye ball rentantion
Nilipoona lineup winger Ni Foden na Bernado ,nikachek midfield Stones ,nikajua hawatoboi
Nakumbuka Community shield ,alimuweka winger Bernado, Timber aliinjoy Sana ile mechi,
Ukicheza na timu zinazowin duels haraka ,ukicheza bila winger asilia utakesha kuwafungua
Mancity hatari Yao siku hizi ipo kwa Doku , akianza Grealish au Foden Kama winga wanazuilika vzr Sana
Niliwahi sema kuondoka Mahrez ,Gundogan ,na fitness ya KDB, watapungua Sana makali ,hao ndio walikuwa wanaamua Sana mechi
Rodri watu wamejionea kwanza hawez ku cover eneo kubwa , akifanyiwa pressing Sana wanakuwa shambles na anacheza Sana rafu za kijinga .