Colonel McCoy
JF-Expert Member
- Aug 15, 2023
- 313
- 616
Sioni hili likitokea kwa hivi KaribuniRaya’s bad goal keeping could give chance to Ramsdale against Villa
Wamekiwasha sana, wanaanzia kukabia kwetu alafu hawachoki, hao wanaosema hivyo hawajaangalia gemu, wamecheki livescore.game ilikua balaa nashangaa wanaokuja uku wanasema tunashangalia ushindi kwa luton... lutona anapiga blocks kila attempt tuliokuwa tunafanya ila mtu anasma ni timu ndogo
Ben white apewe pongezi zake, kwenye maamuzi yupo haraka sana.PESA HIYOOOOO .!
Unalipa Pauni Milioni 105 kwa mchezaji kama huyu , sio wengine mnalipa 100 hovyo hovyo tu .!
Size ya pitch ya uwanja wa Luton ni changamoto aisee hasa kwa passing game
Kwa kiasi kikubwa hasa kipindi cha kwanza Gaby Jesus alikuwa anasaidia sana kwa Arsenal kusogea juu kwa
1: Kushuka chini , kupokea mpira na kusogea nao juu ( carries )
2: Kushambulia space baina ya outside CBs wa Luton na wingbacks wao
Luton wanastahili pongezi kwa mpango wao : walitumia faida ya udogo wa pitch kwa kubana zaidi space na kutumia counter attacks plus mipira iliyokufa kupata chochote kitu .
Kipindi cha pili ni kama vile ilikuwa nani atafunga magoli mengi zaidi ya mwenzake , mmoja anatumia ufundi wa kuweka mali chini ( Arsenal ) mwingine anatumia ufundi wa mipira mirefu na iliyokufa ( Luton ) : mwisho Arsenal wakawapa Luton ladha ya dawa yao wenyewe . Heartbreaking
NOTE
1: Yule Fullback wa kushoto wa Luton : Doughty ana mwaga maji huyo
2: Ross Barkley kama alikamia vile , kaubonda
3: Kai Havertz anakuja bhana , kajipata tayari
4: Bukayo Saka ni hatari , anafanya vitu kwa level ya juu sana
5: Gaby Jesus kuna muda anakuwa Yes kuna muda No
6: David Rayanafikiri Ramsdale atakuwa na matumaini nafasi yake bado ipo
7: DECLAN RICE , DECLAN UBWABWA ... PESA .! What a player . Tangu atue Arsenal sikumbuki mechi gani alicheza vibaya . Arsenal waongeze zingine £20M kwa West Ham
8; Kafungwa Luton lakini wanachukia wengine .
FT: Luton 3-4 Arsenal
AMBANGILE
Naona rate ya 8 zime tawala, Raya ndo kazingua😂😂🤣Kai Leo ameupiga mwigi mno mno mno. Ukipata muda angalia highlight kwa utulivu Kai vs luton, Kenge watagundua tumewapiga baadae sana
Washambulia na viungo wote wamehusukika kwenye goals
Kitu kibaya ni kwamba bado hatupo formView attachment 2834251
Dah kumbe nawe nusu albino Ume liona Hilo😄😂🤣Ben white apewe pongezi zake, kwenye maamuzi yupo haraka sana.
Ndio kapiga kazi haswa, odegaard kuna muda muoga muogaDah kumbe nawe nusu albino Ume liona Hilo😄😂🤣
Vipi una onaje kwa rangi yako, tuku peleke ulaya ukawe kivutio🤣😂😄Ndio kapiga kazi haswa, odegaard kuna muda muoga muoga
Kivutio kwani me ndege?Vipi una onaje kwa rangi yako, tuku peleke ulaya ukawe kivutio🤣😂😄
We huji shangai mi rangi minhi Kama kasuku😂🤣🤒Kivutio kwani me ndege?
Next stop A Villa at Villa Park, hapa ndio wataita maji mma kubabeeekiAsenyeto mnajambishwa na Luton Halafu mnajitapa kuwa mtabeba kombe , labda mbebe ndoo za ulanzi na gongo
Tuongee bolu tafadhaliWe huji shangai mi rangi minhi Kama kasuku😂🤣🤒
Wale wanaopenda kufunguka na kushambulia...tupo hapa🤠🤠🤠....hawana beki wa kuzuia tusifunge....wataamua wao kupaki basi au tupishane....wakitaka tupishane Sasa....hapo ndo patakuwa pazuri....timu za kutusumbua sisi nilishasema ni 3 tu.... Brighton...City na Liverkuku...Hawa wengine ni watoto wadogo...sisi sio Manunu🤠🤠🤠...mpk wachezaji wanamfundisha mwalimu namna ya kukaa na wachezaji kwa amani....Leo hatulali mpk tujue hatma yenu nyny pipa na mfuniko mkichezaNext stop A Villa at Villa Park, hapa ndio wataita maji mma kubabeeeki