Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mtaita maji mma leo ,mnadhani ligi ya wakulima hii
Mnaanza kujipangia kwamba tunabeba epl
Epl ya nioko ,ngonja leo kibonde Luton awafumue ,hicho kidomo domo kiisshe na mjue hii ni Epl na si ligi ya wakulima
Wewe ndo umefumuliwa.Shame on You.
 
Chuma hichoo😂🤣🤣🤒
FB_IMG_17018146689977724.jpg
 
Hili chekecho lilitombea dakika za mwisho [emoji119]

The real meaning of ARTETALIBAN [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Nyumbu wote mliokuja kuchafua uzi musisogee tena mlale na pampers.
 
Mtaita maji mma leo ,mnadhani ligi ya wakulima hii
Mnaanza kujipangia kwamba tunabeba epl
Epl ya nioko ,ngonja leo kibonde Luton awafumue ,hicho kidomo domo kiisshe na mjue hii ni Epl na si ligi ya wakulima
Hii no Operation Heshima kurudi mahala pake

Hesabia arsenal umemfunga Hadi filimbi ikipulizwa. Shwain
 
Kuna minyumbu nilikua naangalia nayo mpira ilikua inaomba sare na maneno ya kashfa.. Leo sijui watalalaje!
 
Rice
Odegard
Kai
Bukayo
Jesus

Leo wameubonda, Imeenda kwa order [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Piga mmbwa haoooo......!!! Alisikika mpita njia mmoja tukiwa banda umiza.
IMG_20231206_012004.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom