Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Liva kasuluhu na Luton.

Game inayofuata Luton alicheza na nyumbu.

Nyumbu akashinda 1

Luton kampiga Palace.

Ila kapigwa na Brentford.

Next match ya Luton ni dhidi ya City.

Luton akicheza na timu zinazokupa mpira na kufocus kufunga anapata tabu. Palace hakuliona hili akadondosha points zote, liva akasubiri hadi dakika ya 95 ili kupata point moja.

Timu imefanya poa. Imestep up ilipotakiwa kufanya hivyo.
Halafu kiwanja Chao kidogo, kumbe pale cheza long balls tu
 
Kai Havertz vs Luton Town

• 90 mins played
• 52 touches
• 23 passes completed
• 6 passes into final third
• 10 duels won
• 6 recoveries
• 5 shots
• 4 chances created
• 1 goal

Arteta is working magic on our German machine
20231206_012028.jpg
 
Chuki zimekua juu hadi zimeshusha standards.

Zamani ilikua tunatishiwa Spurs, Brighton na wengine wa top 4.

Siku hizi unaona pimbi anakuambia msijisahau Villa mmemuacha points chache tu. Next game villa anaburuzwa hadi anaomba draw dk za lala salama.

Mara anatokea pimbi mwingine anakuambia jiandaeni na villa next week. Utadhani itakua mara ya kwanza kuwafunga hao.

Nacheka sana nikiona vilio
 
Acha wateseke mkuu.ni kama mtu anayesubri mali za urithi haachi kuombea misiba
 
Jana odegard na Rice ndio waliamua game

Zile dakika za mwishoni kuanzia dakika ya 89 odegard did all things on his own
Ka-shoot palipo hitajika, alitafuta mashimo kila chocho

It was good game

Walipoingia zinny na Trossad, ilibidi nicheke maana nilijua what going to happen
Kuanzia muda huo Luton walikua hawauoni mpira, chekecho lilopigwa ata angekua Nani angeachia tu

IMG-20231206-WA0040.jpg
 
Bielsa anakuambia katika mchezaji mgumu kumpata ni namba 8 yeye anaiita hiyo namba 'The Modric' anakaba kama 6 anashambulia kama 10.

Angalia Odegaard akipata mpira miguu yake inavyochangamka . . . Anavyofosi kwenda mbele . . .

Juzi tu hapo Liva kaongozwa na Fulham akashinda 4 kwa 3 dakika zikiwa zimeenda wakawasifia Liva.

Arsenal kashinda kwa magoli hayo hayo dhidi ya timu ambayo liva aliacha points mbili eti wanasema tunabahatisha.

Lieni tu
 
Kaka wazoee tu ,standard wametuwekea iwe WIN tu hawataki hata tutoe sare
 
The image of Kai Havertz full of personality and enthusiasm that Arsenal fans want to see is here.

4 matches. All 3 goals were scored by Kai at key moments for Arsenal

Brentford FC - scores 3 points.
Lens - scored the opening goal of the match.
Wolverhampton Wanderers FC.
Luton Town Football Club - scored to equalize 3-3 for Arsenal.

Average 67.6 minutes/goal. Since the national team gathering, Kai has returned to Arsenal with a completely different mindset. A Kai with huge confidence, a completely relaxed mentality and precision in every shot.

No longer simply moving without the ball or silently contributing to the game, Kai now directly plays the role of bringing results to Arsenal
 
Back
Top Bottom