Leo anachoma sana...tupo slow sana leoRaya leo ni kopo, namuona Ramsdale kafurahiiiii
kweli kabisaTunamsifia Arteta lakini kuna makocha EPL wanam-outsmart
David raya haya makosa, yatamuweka benchi
Mtaita maji mma leo ,mnadhani ligi ya wakulima hiiWanacheza tough Sana
Wanaingia Sana
Kama wametumwa hivi na vigogo ili watupunguze kasi
Na bado mbona mtasemaMadogo wamekamia mechi
Makosa yametugharimu mnoo, ndio yametufikisha hapa mpaka sasa hivi.Two costly mistakes by Raya
Point 3 mtoe wapi ?Hii game Cha msingi point 3 tu
Tena kwenye game ya 75% win, ngumu kubeba ubingwa kwa kupoteza game hizi.Two points dropped????