Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mmebahatisha na ushindi wenu wa kuungaunga papatu papatu dhidi ya vibonde kama Luton
Ninyi ubingwa sahau
umeangalia mechi ???? kuanzia dakika ya 80 luton anawashiwa moto kazi alikua ana block... zimeongezwa dakika sita comentator akasema ivy "six minutes may be a litt for gunners but for Luton, it feels like a year ". akasema it's been 38 years since arsenal visit that stadium na ni 40 years toka tuwin home kwa Luton.......
 
Kuna jamaa kamind sana hapa anapunguza maumivu na kisungura ni shabiki wa man utd.

Game ilikuwa ya kibabe sana, luton wamecheza vizuri sana.
game ilikua balaa nashangaa wanaokuja uku wanasema tunashangalia ushindi kwa luton... lutona anapiga blocks kila attempt tuliokuwa tunafanya ila mtu anasma ni timu ndogo
 
Kai Leo ameupiga mwigi mno mno mno. Ukipata muda angalia highlight kwa utulivu Kai vs luton, Kenge watagundua tumewapiga baadae sana

Washambulia na viungo wote wamehusukika kwenye goals

Kitu kibaya ni kwamba bado hatupo form
Screenshot_20231206-013029.jpg
 
Back
Top Bottom