Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Kama tunamtaka tutawafanyia kitu mbaya kama tulivyofanya kwa Rice.Saa zingine mshindani akiingia anavuruga mipango. Kina Edu huwa wanatakiwa kuficha targets ama kufichua targets za uongo huku wakifuatilia za ukweli. Najua hili si jambo rahisi maana tukimfuata mchezaji tu, club yake na team yake ya mawakala, familia, nk nao hapo hapo wanajitokeza kuringishia ulimwengu kuwa Arsenal inamtaka mchezaji wao.