Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Nipo paleHuyu Bibi Saint Anne akija mnistue, Leo ntaishi nae kibampani
Nipo paleHuyu Bibi Saint Anne akija mnistue, Leo ntaishi nae kibampani
Kweli bange ni mbayaTunamtaka yeyote sasa hivi.. Watuweke na Madrid round ya 16, robo watuweke na City tumalize kabisa fainali zetu maana hao ndo wapinzani wanawaamini kutuzuia.
Hao Bayern na PSG kama wataweza wajiunge iwe timu moja tupige fainali tupewe mwali.
Hongereni. Jana mmempiga mtu 4-0 bila hurumaKweli bange ni mbaya
Kawaida yetuHongereni. Jana mmempiga mtu 4-0 bila huruma
Mbona kama naona akina Salah, Gakpo, Diaz...hawa mnawapanga Europa huko na mshavuka group vizuri tu?
Si wanafanya mazoeziMbona kama naona akina Salah, Gakpo, Diaz...hawa mnawapanga Europa huko na mshavuka group vizuri tu?
Kuna moja anapiga na kinywaji kabisa, nikutumie uitunze?Nipo pale View attachment 2830028
Sikupingi mkuuKesho Wolves atakula chuma 4
Huu mzigo inabidi apangiwe city au MadridPrediction ya kikosi Cha kesho
Saa 12 tutakuwa na Wolves pale Emirates
Wolves wanapenda kufunguka kiasi ,so mechi itakuwa nzuri View attachment 2830135
Hii sasa sifa!Prediction ya kikosi Cha kesho
Saa 12 tutakuwa na Wolves pale Emirates
Wolves wanapenda kufunguka kiasi ,so mechi itakuwa nzuri View attachment 2830135
Duuuuuuuuh.Teams kama Dortmund, PSG, Barcelona, Porto, Inter, Atletico na Lazio zinapambana kutop magroup yao ili waepuke kukutana na sisi
Unataka acheze nani Sasa mkuu...hku sisi hatuna kina Chukwuemeka sijui mara Disasi🤠🤠...huku wapo kina Rice kina Havertz...ndo wapo haoHii sasa sifa!
Na wengine kama akina Partey ni majeruhi kwa hiyo hatuna namna 🤣Unataka acheze nani Sasa mkuu...hku sisi hatuna kina Chukwuemeka sijui mara Disasi🤠🤠...huku wapo kina Rice kina Havertz...ndo wapo hao