Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wasifikirie lens ni mbovu

Ile booster Jana inanikumbusha booster alifunguliwa Barca
Xavi anakuambia arsenal wanacheza Kama wapo final ya UEFA
[emoji1][emoji1][emoji1]
Yah, Øde alichafukwa sana
 
Huku Champions League mpaka wakumbuke Saka na Martinelli hawakabwi na mchezaji mmoja tutakuwa tumefika Fainali.. [emoji205][emoji205]

Ona tofauti hapo EPL wanawakaba wawili wawili au watatu
20231130_164106.jpg
20231127_163411.jpg
 
Wapinzani tunaoweza kukutana nao round 16


Copenhagen
Napoli
Inter
Lazio
PSG
RB Leipzig
Porto

Utaratibu Ni ule ule tukutane WEMBLEY MWEZI MAY
Nataka mpangiwe Bernabeu magetoni ,mje mkamuliwe samadi
Huku vini huku Bellingham huku mtoto Rodrigo huku camavinga ,valvede ,Tchuoameni
Mtaita maji mma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom