makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,870
- 104,078
Kai kamzunguka mtu bwana 😂, halafu kapiga v saafi kabisa
Game hii unatumia sub zako zote 5. Na unahakikisha hizo sub umeziweka kabla ya dk 70 ili watu wacheze boli la kutosha.Arteta nae chizi eeh.. Unaongoza 5, pumzisha watu.
Wanatuaibisha sana ndugu zetu...tunaonekana kama tunaotoka ligi kuu ya Uingereza ni watu wa hvyohvyo wakati ni watu wa kazi...wajitahidi mechi na Bayern wasifungwe nyingi maana kushinda hawawezi🤠🤠🤠....walau watatutunzia hishma kwakwli🤣🤣🤣 wana point 4 wajinga wale. P5, W1, D1, L3. Sasa sijui walikuja huku champions league kufanya nini. Wangeenda hata shambani kulima angalau wawe wamefanya la maana kuliko kuja kupoteza muda wa watu huku.
RC Lens hata hizo 6 washukuru tu , maana kwa jinsi Arsenal walivyokuwa zingefika hata 8 kama sio 9 kabisa .
Walichofanya Arsenal kwa usahihi zaidi
RC Lens na ile BACK 3 , Space ambayo ilikuww inabaki wazi nyuma ya wingbacks wao ndio Arsenal waliitafuna haswa , Saka na Martinelli ndio walionufaika.
Nafikiri kwa muda mrefu wa mechi ilikuwa ni Arsenal tu ndio waamue wanataka kufunga mangapi , walitawala sana mchezo kiulinzi na kushambulia pia .
( basi wenye nongwa watasema alikuwa anabutua ) 
Ukiangalia video zake alipokuwa liverkuzen hasa aina ya magoli aliyokuwa anafunga, kama wewe ni mchezaji utajua jamaa ana kitu.Eh. Kumbe Kai vyenga navyo anaviwezaweza..
Tomiyasu ana assists 2. 1 kwa Martinelli kutokea upande wa arsenal wa uwanja. Ya pili kwa Odegaard baada ya kumuoverlap Saka na kupata pass na kucross. Tomi amekuwa mkali zaidi. Naona anarudia form yake ya zamani.TOTAL DOMINANCE
RC Lens hata hizo 6 washukuru tu , maana kwa jinsi Arsenal walivyokuwa zingefika hata 8 kama sio 9 kabisa .
Walichofanya Arsenal kwa usahihi zaidi
1: Movements zao zilikuwa nzuri sana uwanja mzima hasa wakiwa na mali ( Third man runs kutoka kwa Zinchenko , Tomiyasu , Rice )
2: Passing : mali inafika kwa ufanisi
3: Kasi , hasa pale wakibadilisha ulinzi kwenda ushambuliaji
4: Maamuzi sahihi katika nyakati sahihi
5: Umaliziaji mzuri , ufanisi mbele ya goli
RC Lens na ile BACK 3 , Space ambayo ilikuww inabaki wazi nyuma ya wingbacks wao ndio Arsenal waliitafuna haswa , Saka na Martinelli ndio walionufaika.
Nafikiri kwa muda mrefu wa mechi ilikuwa ni Arsenal tu ndio waamue wanataka kufunga mangapi , walitawala sana mchezo kiulinzi na kushambulia pia .
NOTE
1: Confidence itaongezeka kwa Kai Havertz kufunga magoli katika mechi mbili mfululizo ( EPL & UCL )
2: Bukayo Saka mpaka sasa kachangia magoli 7 katika mechi 5 za UCL
3: Ule mpasi wa Tomiyasu kwenye goli la Martinelli kama Pirlo vile( basi wenye nongwa watasema alikuwa anabutua )
4: Yule Elye Wahi kuna mchezaji mule , inawezekana Lens wakamtumia msimu mmoja tu ambao huu maana amehamia majira haya ya kiangazi .
5: Magoli 6 wafungaji 6 tofauti , siku hizi ndio maana timu zina park bus dhidi ya Arsenal ukitaka tu kupishana nao , watakufedhehesha
6: Hatua ya 16 tayari. Gunners wanasemaje ... wapeni kombe lao au walifuate . Chagueni
FT: Arsenal 6-0 RC Lens
AMBANGILE
Havertz jana kapiga mpira mkubwa sana...yaani Kila kitu alifanya kwa usahihiLens kilichomkuta Jana tunaita MAMA MKANYE MWANAO
Kwa Mara yakwanza nimegundua kwanini Timu za EPL hazitaki biashara ya kupishana
Attacking yetu inasemwa flow imepungua ,nikweli Lakini msimu huu
Martinelli-Jesus-Saka
Ødegaard
Hii combination wamecheza pamoja mara chache , wamekuwa wakipishana na injuries
Kai havertz anazidi ku gain confidence, kahusika kwenye movement ya goli moja na kufunga goli moja.
Trio ya Martinelli-Jesus-Saka Ødegaard tunaihitaji Sana kudumisha flow ya magoli
BEMUNDA TRIANGLE
Rice Saliba Big Gab
huu Ni moja ya Uti wa mgongo wa timu
Wameenda hewani ,Wana win duels zote , wanapiga pass kwa usahihi .
Tomiyasu ,moja ya wachezaji adimu sokoni anapiga miguu yote , anacheza fullbacks zote ,Jana kacheza RB, ana invert ,katoa assist mbili, Ni monster ,kaenda hewani
Kipindi Cha pili Mikel aliweka 4CBs
Kiwior Big Gab Saliba White
Ukiona umewekewa hao watu futi 6+ ,game over
Tunaenda round 16 kibabe , tukiwa na mchezo mmoja mkononi
Niliwahi kusema Hili kundi points Ni 15-18
Tuna points 12 tumeshaongoza na kundi, Naona mechi ya mwisho wakipewa nafasi kina Elneny, Nelson, Nanweri, Kiwior , wachezaji ambao hawapati game time Sana.
Bado naisubiri midfield ya
Rice Partey Ødegaard
Plus
BEMUNDA TRIANGLE
Tutaanza kuiona hatua za mitoano View attachment 2829150
Natamani sana Nyumbu watolewe na tena wasienda hata Europa. Ila group lao lilivyo, daah, wana chance ya kushika nafasi ya 2 kama wakimpiga Bayern na Copenhagen na Galatasaray wakitoka sare. Siyo poa kabisa. Nilitaka mpaka hapa iwe imeshathibitika kuwa wameshafungishwa virago.Nilitarajia tutashinda ila siyo 5 kipindi cha kwanza.
Huu ushindi umenifurahisha ila siyo kama kujua nyumbu anashika mkia huku aliongoza 2, akaongoza 3 dhidi ya Galatasaray
Kuanzia mechi na Newcastle,alishaanza kupanda kiuchezajiHavertz jana kapiga mpira mkubwa sana...yaani Kila kitu alifanya kwa usahihi
Hata mimi alinishangaza kidogo ila kwa kuwa mimi ni mmoja wa wasiomkubali, sikushindwa kufuatilia na kuona makosa yake machache aliyofanya 🤣Havertz jana kapiga mpira mkubwa sana...yaani Kila kitu alifanya kwa usahihi
Mkuu una kumbukumbu nzuriNakumbuka wakati hawa Lens wanatupiga bao kule kwao, kuna qatu walikuja kulishambulia hili jukwaa na kumlipiga sana Spana Hamis nakumbuka kauli moja ya hamisi alisema ""ivi hawa Lens kama Arsenal angekua anataka point tatu ili afuzu hatua inayofuata angeweza ubavu wa kupishana na Arsenal"" walimpiga sana na hamis aliahid wakija Emirates watakula bao 4, ila hadi half time kashakula Kono la Nyani dadeki, hawa tusipochange gia wanakula 8 hawa.
Hizi ni salama tu kwa yoyote ndani ya ligi aliyepata hata angalau pointi moja first round, ajiandae kwa Second round kutoboka goal nyingi kama kauli ya Castr kua Ligi tutainza January

Ipo siku jf wote tutashabikia arsenal the gunnersLens kilichomkuta Jana tunaita MAMA MKANYE MWANAO
Kwa Mara yakwanza nimegundua kwanini Timu za EPL hazitaki biashara ya kupishana
Attacking yetu inasemwa flow imepungua ,nikweli Lakini msimu huu
Martinelli-Jesus-Saka
Ødegaard
Hii combination wamecheza pamoja mara chache , wamekuwa wakipishana na injuries
Kai havertz anazidi ku gain confidence, kahusika kwenye movement ya goli moja na kufunga goli moja.
Trio ya Martinelli-Jesus-Saka Ødegaard tunaihitaji Sana kudumisha flow ya magoli
BERMUNDA TRIANGLE
Rice Saliba Big Gab
huu Ni moja ya Uti wa mgongo wa timu
Wameenda hewani ,Wana win duels zote , wanapiga pass kwa usahihi .
Tomiyasu ,moja ya wachezaji adimu sokoni anapiga miguu yote , anacheza fullbacks zote ,Jana kacheza RB, ana invert ,katoa assist mbili, Ni monster ,kaenda hewani
Kipindi Cha pili Mikel aliweka 4CBs
Kiwior Big Gab Saliba White
Ukiona umewekewa hao watu futi 6+ ,game over
Tunaenda round 16 kibabe , tukiwa na mchezo mmoja mkononi
Niliwahi kusema Hili kundi points Ni 15-18
Tuna points 12 tumeshaongoza na kundi, Naona mechi ya mwisho wakipewa nafasi kina Elneny, Nelson, Nanweri, Kiwior , wachezaji ambao hawapati game time Sana.
Bado naisubiri midfield ya
Rice Partey Ødegaard
Plus
BEMUNDA TRIANGLE
Tutaanza kuiona hatua za mitoano View attachment 2829150

Hiyo ndo itakuwa atar kma naona MCHELE utakavyo kuwa unaenjoy zaid mana mkabaji yupo zaidiIpo siku jf wote tutashabikia arsenal the gunners
Itunzeni hii![]()