Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sevilla amekufa

Biashara asubuhi, tumpige lens mapema tuangalie ustarabu mwingine
Kabisa mkuu. Vijana waende kutekeleza kile tulichowatuma. Wasibembeleze wala wasirembe. Shinda gemu mapema tuangalie ustaarabu mwingine
 
Karibuni sana ndugu zetu saa 5 usiku kwa majira ya saa za afrika mashabiki mshuhudie namna tunavyotoa shule ya soka kwa wadogo zetu kutoka ufaransa...kile walichokifanya siku ile kule kwao leo watajuta kwnn walikifanya maana ule ulikuwa ni utovu wa nidhamu🤠🤠🤠...tutawadunda na tutawafundisha namna ya kucheza soka safi
Mkuu inaonekana maneno yako yanatimia ndani ya nusu saa tu
 
Back
Top Bottom