Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bado hatujaridhika aisee. Tena hiyo ya marudiano tunatamani tuwapige kama hawa Lens. Kwa maneno ya mkorea , 'heshima irudi'. Ila pale unyumbuni naona mna mali aisee. Kale ka Garnacho tupeni basi kaje kusugua benchi. Akitoka Martinelli kaingie. Huyo Fernándes pia tupeni tumuweke bench ili akitoka Kai, Bruno aingie.
Lazima "heshima irudi mahala pake"
 
Si ndiyo maana yenyewe ya hamkutaka hiyo sasa . Kama jana kwa nini hamkucheza tu game lenu bovu la janjajanja la kupaki basi na kuvizia counter? Mkaanza kujiona eti na nyie mnaweza kama wengine mkaanza kupishana na wale wanaOttoman. Mkawapa confidence, mwishowe mkapoteza points 2.
Hio kitu ndio inatufanya hata sisi mashabiki tuanze kumtilia mashaka Baba ubaya (7hag)
Hawa kina Urtuglu mechi ya kwanza pale Trafford mpaka kipindi cha kwanza kinaisha tulikua tunaongoza kwa 2 - 0 kipindi cha pili kwa mpira huo wa kupishana goli 2 zikarudi na wakatufunga kabisa wakaondoka na points 3.
Kwa kilichotokea Old Trafford nilijua 7hag atajifunza tukioenda Uturuki lakini matokeo yake mambo yamejirudia vilevile.
Ila pia ukiangalia hata tukiamua kupaki basi hao wachezaji wa kupaki basi tunao?
 
Ila Kai bhana.. Sawa ana improve ila kuna muda Martinelli alikua akifanya forward runs kipindi Kai akiwa na mpira at the end anachagua kurudi nyuma.

Ni kama hataki ku take risk mana choice of passes zake muda mwingi anachagua safe options. Labda ni ishu ya confidence.. Wacha tuone maendeleo yake kwa game zijazo.
 
Bado hatujaridhika aisee. Tena hiyo ya marudiano tunatamani tuwapige kama hawa Lens. Kwa maneno ya mkorea , 'heshima irudi'. Ila pale unyumbuni naona mna mali aisee. Kale ka Garnacho tupeni basi kaje kusugua benchi. Akitoka Martinelli kaingie. Huyo Fernándes pia tupeni tumuweke bench ili akitoka Kai, Bruno aingie.
Hebu tema mate chini kwanza, yaani Kai ndie wa kumuweka benchi Bruno Fernándes?
Pale Arsenyau hakuna mchezaji yoyote wa kumuweka bench Captain Bruno, hata huyo Martin Ødegaard kwa Bruno lazima asubirie kwanza.
Epl yote mchezaji pekee anaeweza kumuweka bench Bruno ni KDB tu.
 
Hio kitu ndio inatufanya hata sisi mashabiki tuanze kumtilia mashaka Baba ubaya (7hag)
Hawa kina Urtuglu mechi ya kwanza pale Trafford mpaka kipindi cha kwanza kinaisha tulikua tunaongoza kwa 2 - 0 kipindi cha pili kwa mpira huo wa kupishana goli 2 zikarudi na wakatufunga kabisa wakaondoka na points 3.
Kwa kilichotokea Old Trafford nilijua 7hag atajifunza tukioenda Uturuki lakini matokeo yake mambo yamejirudia vilevile.
Ila pia ukiangalia hata tukiamua kupaki basi hao wachezaji wa kupaki basi tunao?
Kwani kupaki basi si suala la kimfumo zaidi kuliko wachezaji? Baba ubaya yeye awaambie tu wachezaji wajipange hivi, wabutue mipira mbele au kwa Bruno au Garnacho. Wao wapige mashuti wajaribu kubahatisha goli 😁
 
Kwani kupaki basi si suala la kimfumo zaidi kuliko wachezaji? Baba ubaya yeye awaambie tu wachezaji wajipange hivi, wabutue mipira mbele au kwa Bruno au Garnacho. Wao wapige mashuti wajaribu kubahatisha goli
Wachezaji wenyewe ndio hao kina Magwaya?
 
Hebu tema mate chini kwanza, yaani Kai ndie wa kumuweka benchi Bruno Fernándes?
Pale Arsenyau hakuna mchezaji yoyote wa kumuweka bench Captain Bruno, hata huyo Martin Ødegaard kwa Bruno lazima asubirie kwanza.
Epl yote mchezaji pekee anaeweza kumuweka bench Bruno ni KDB tu.
Kwa hii Ze Ganaz Bruno anakaa benchi vizuri tu akiendelea kujifunza kwanza pira biriani. Tukimuanzisha ataleta maujinga aliyofundishwa na baba ubaya huko unyumbuni.
 
Wachezaji wenyewe ndio hao kina Magwaya?
Hao hao kina Magwaya. Tena kipa weka yule wa bench. Maana Omama akiwa golini mpinzani anapaswa kutafuta shot on target tu, mengine Omama mwenyewe anatekeleza.
Ila Omama kiboko aisee. Akiuchoka ukipa anajifanya mido anatoka na kuambulia chop. Akijifanya kipa na kubaki golini nako ndo anageuka kuwa striker kabisa anapiga tap-in golini mwake mwenyewe.
 
Amini mkuu hilo ni suala simple sana kwenye group lao. Group liko wazi mno. Bayern naona amefaidi kwa kutangulia kwa kushinda games ila kufungika anafungika. Nyumbu wakaze tu wampige bayern. Hao wengine wataumana sana jino kwa jino maana wote wanataka kufuzu na hatimae wataishia kutoka sare 😃
Mechi ikishakuwa nje ya mikono yako ujue utaishia kupiga ramli tu, Ingekuwa must win to qualify ningesema rahisi. Kwa case hii 95% wako nje.
 
Hebu tema mate chini kwanza, yaani Kai ndie wa kumuweka benchi Bruno Fernándes?
Pale Arsenyau hakuna mchezaji yoyote wa kumuweka bench Captain Bruno, hata huyo Martin Ødegaard kwa Bruno lazima asubirie kwanza.
Epl yote mchezaji pekee anaeweza kumuweka bench Bruno ni KDB tu.
Mkuu Bruno ni mzuri sana kwny kumtafuta Rashidi Makame....akiipokea anaangalia Makame Yuko wapi anabutua...ila mpira wa utulivu Hana kabisa yule bwana mdgo...yule pale arsenal atasubiri mpk acheze Odegaard atokee aingie Smith Rowe atoke hlfu ndo aingie yy....kitu kingine kizuri kwake anajua sana kulalamika...kwa hlo atatusaidia
 
Mikel Arteta’s preferred front five is probably Kai Havertz, Martin Ødegaard, Bukayo Saka, Gabriel Jesus and Gabriel Martinelli.

They hadn't played a minute together all season before last night.

They scored five goals in their first 45 minutes and there’s so much more to come.
20231130_115448.jpg
 
Back
Top Bottom