HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,643
- 7,073
Wasipojifunza mapema na kuja kwa nidhamu 2nd half, watajikuta wanakula 10 hawa🤠🤠🤠🤠...tatizo wanataka kupishana na sisi...wenzao wanaokujaga pale Emirates huwa wanapaki basi wao wanajifanya wajuaji...wacha tuwape lekcha leo
