Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

The future of England national team in safe hand
IMG-20231123-WA0034.jpg
 
View attachment 2828635wakati wanawashika ka li o hiyo ilikuwa under 10 au sio
Karibuni sana ndugu zetu saa 5 usiku kwa majira ya saa za afrika mashabiki mshuhudie namna tunavyotoa shule ya soka kwa wadogo zetu kutoka ufaransa...kile walichokifanya siku ile kule kwao leo watajuta kwnn walikifanya maana ule ulikuwa ni utovu wa nidhamu🤠🤠🤠...tutawadunda na tutawafundisha namna ya kucheza soka safi
 
Sahihi, akipatikana LCM mzuri atarahisha vingi, na kumtegemea odegaard kutapungua nae majukumu yatampungukia, tutakuwa hatari saana pale mbele, mpaka leo bado hatujapata LCM hatari, bado tunapata afadhali wa kujaza kikosi tusicheze 9 uwanjani.
CF ni sahihi, anahitajika mtu ambae yeye na goli wana udugu wa damu, jesus ni mzuri, ila takwimu zake za magoli haziridhishi, labda tukipata LCM mzuri anaweza kuongeza takwimu ya magoli, shida nae siku hizi trip shamba, trip gereji... Majeraha yanamuandama.
Mkuu LCM si tayari yupo Lord Havertz!! 🤣🤣
 
Jumamosi tupo nyumbani dhidi ya Wolves, ni mechi ambayo hata wao wanaitaka, kocha Oneil kwa comment yake ya jana anaonekana anatamani kufundisha timu kubwa, na hizi ndio mechi wanazotumia makocha kama huyu kuionesha dunia Uwezo wao, unakumbuka Arsenal (3-2) bournemouth dakika za lala salama? Alikuwa huyuhuyu kocha, na mimi sipo tayari kuona Arsenal inadondosha point kwa timu kama wolves sasa. Ubingwa wa Ligi ni marathon. Lets go gunners.
Watawanyoosha sana
Ponapona yenu ni draw
 
Napenda kuwafatilia Sana wapinzani wiki moja kabla ya mechi

Wolves wapo vzr kwenye buildup ,Lemina Gomes pale Kati ndio mihimili Yao,

Jana wote wamepata kadi za njano na kufikisha 5 kila mmoja ,wote wanaikosa mechi na Arsenal .,pia watamkosa Pedro Neto

Halafu wanakuja Emirates wakiwa uchi kwenye midfield vs BEMUNDA TRIANGLE.
Wakishawakanda na kupaki bus ndio utaelewa vizuri
 
Back
Top Bottom