Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nauza clip ya goli bora la (Garnacho) msimu wa 2023/24 kwa $100 kwa wale ambao hamkupata nafasi ya kuliona live.
 
Arsenal’s next five games in PL.

• Wolves (H)
• Luton Town (A)
• Aston Villa (A)
• Brighton (H)
• Liverpool (A)

How many points do you think we can get out of 15 points?


For me 13/15 ikiwezena 15/15 kabisa
13 zinatosha saana hapo.
 
Makali ya kwenye kushambulia yamepungua msimu huu ila kuzuia naona tumekuwa bora zaidi.. Ingekuwa makali ya kushambulia ni kama msimu uliopita, aisee ingekuwa ni balaa
 
Kama tutapata clinical CF na Lcm basi moto utawaka.
Sahihi, akipatikana LCM mzuri atarahisha vingi, na kumtegemea odegaard kutapungua nae majukumu yatampungukia, tutakuwa hatari saana pale mbele, mpaka leo bado hatujapata LCM hatari, bado tunapata afadhali wa kujaza kikosi tusicheze 9 uwanjani.
CF ni sahihi, anahitajika mtu ambae yeye na goli wana udugu wa damu, jesus ni mzuri, ila takwimu zake za magoli haziridhishi, labda tukipata LCM mzuri anaweza kuongeza takwimu ya magoli, shida nae siku hizi trip shamba, trip gereji... Majeraha yanamuandama.
 
Saka anaposema wanakabwa watatu watatu anamaanisha

Sasa anakuja Shabiki wa manjesta anabisha ,ataelewaje ikiwa timu Yao imezoea kupakishwa Basi


Angalia hapo wachezaji 9 wa Brentford wapo ndani ya Box


Ulaya nzima ,Arsenal tunaongoza kuwekewa mabasi


20231127_164839.jpg
20231127_163411.jpg
 
Angalia hapo
emoji107.png
emoji107.png
wachezaji 9 wa Brentford wapo ndani ya Box
Ndani ya box lao wako 9 lakini nyie mnaoshambulia mko 4, hao 5 wenu mmewaacha nje ya box wanafanya shughuli gani uko nyuma dhidi ya mchezaji 1 wa Brentford?
 
Ndani ya box lao wako 9 lakini nyie mnaoshambulia mko 4, hao 5 wenu mmewaacha nje ya box wanafanya shughuli gani uko nyuma dhidi ya mchezaji 1 wa Brentford?
Kwahiyo unataka na Arsenal wajazane kwenye box wapigwe kaunta?

Arsenal sio manjesta jaman
 
Someone said that the trio of Rice, Saliba and Gabriel is like the Bermuda Triangle. No one goes in and lives to tell the tale.
20231127_170957.jpg
 
Arsenal’s next five games in PL.

• Wolves (H)
• Luton Town (A)
• Aston Villa (A)
• Brighton (H)
• Liverpool (A)

How many points do you think we can get out of 15 points?


For me 13/15 ikiwezena 15/15 kabisa
Likiwezekana kwa hali na mali tupige
5×3 =15

Tukiteleza hapo wapinzani wetu wakiokota
Zote kwenye game zao 5 tutakua nyuma yao bila kujali wanagame gani mbele yao kinachopaswa ni sisi kushinda game zetu tu basi
 
Someone said that the trio of Rice, Saliba and Gabriel is like the Bermuda Triangle. No one goes in and lives to tell the tale.View attachment 2826789
Kuna game baadhi hua zikichafuka yan arsenal tunatafuta goli kwa udi na uvumba kwenye dakika 80+ li Gabriel hua linapiga forward pass za hatari aisee hadi hua nashangaa ili jamaa linauwezo mkubwa kiasi hiki.
 
Arsenal imekataa kumuuza Ramsdale

Juzi nilileta Taarifa wolves wanamtaka Ramsdale kwa mkopo wenye kipengere Cha kumnunua kwa lazima msimu ujao kwa £35m


An approach from a bottom-half Premier League side to Aaron Ramsdale has been REJECTED, Football London understands.

Arsenal’s position remains clear that they do not want to lose Ramsdale.


[@TomCantonMedia]
 
Kuna game baadhi hua zikichafuka yan arsenal tunatafuta goli kwa udi na uvumba kwenye dakika 80+ li Gabriel hua linapiga forward pass za hatari aisee hadi hua nashangaa ili jamaa linauwezo mkubwa kiasi hiki.
Huwa linanifurahisha Sana zikifika hizo dakika,halafu awepo na zinny

Ni pass after pass

Nimemkumbuka Sana Uncle Tom , yule mwamba hajui kurudisha mpira nyuma ,Ni mbele kwa mbele
 
Kwahiyo unataka na Arsenal wajazane kwenye box wapigwe kaunta?

Arsenal sio manjesta jaman
Kwani goli la counter sio halali?
Mpira ni mbinu na kila kocha ana mbinu yake kiuchezaji ili kufanikisha kupata matokeo chanya. Wao wame opt counter, Arteta ame opt free flow football, kila mtu ashinde kwa mbinu yake hamis77
 
Back
Top Bottom