Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Villa Sina hofu nao ,Jana Spurs kashindwa mwenyewe kuwamaliza, Villa bado wabovu kwenye highline

Anfield nakuahidi tunaenda kushinda safari hii, ile miiko yote tumekuwa tunaivunja ,Last season hatukutulia tu

Liverpool Hana Midfield ya kutisha ,wapo lethal Sana ,kinachowabeba Wana striking force nzuri


Nimeona hata against City, muda mwingi walikuwa wanawekwa nyuma

Mungu saidia hiyo mechi partey anakuwa kapona ,
Partey Hadi January mwishoni
 
Kumbe upo vizuri Mkuu, pamoja na liver kutaka kushuka daraja mwaka jana lakini bado ulikuwa nyuma yake

Wasiliana naye unitumie control number ukachujue Jersey yako ila sharti langu nataka nikuone umeivaa hiyo Jersey
Nigaivaa hata kila wiki
Ikiwezekana ziwe nyingi
Niwe nabadili tu
 
Ameisha kuwa influenced kwenda Chelsea, if his heart is not at Arsenal ni wa kuachana naye
Watu wakaribu ndio wanafosi aende Chelsea

Behind the scenes hatuwezi kujua ,nakumbuka watu walikuwa wanasema Rice hawezi kuja Arsenal aiache city,

Kumbe nyuma ya pazia wanachati na Kai havertz waje Arsenal

Fabrizio kaliweka sawa kasema Arsenal na Chelsea wote wanamtaka ,so tusubiri Summer
 
Partey Hadi January mwishoni
Muongezee hapa Partey ,kwenye hii Bemunda Triangle


Fewest shots on target faced in the Premier League this season:

1. Arsenal - 28
2. Man City - 35
3. Everton - 47
4. Crystal Palace - 47
20231127_170957.jpg
 
'Napoli don't want to sell Osimhen in January and their position remains that. I'm sure Osimhen is on Chelsea's list, I am also sure that Arsenal are keeping an eye on his situation. Both clubs know it is very tough to go for him in January.'

[@FabrizioRomano]
 
None of Manchester City , Chelsea, Tottenham or Manchester United have beaten Brentford on their own patch since the start of last season.
 
Mwambie mdau anicheki ama we mwenyewe.

Mwaka huu lazima uhamie kwa Washika bunduki
Mdau Hadi nitafute uzi wake

Ukinipa pesa ntakula kwa kweli
Siwezi enda dukani ninunue uzi wa wajaa laana arse 8 ,niache uzi wa Chama langu kubwa
 
Kwahiyo unataka na Arsenal wajazane kwenye box wapigwe kaunta?

Arsenal sio manjesta jaman
Hawa si wazee wa fluke....kwanza tangu msimu umeanza ni lini wamempakisha mtu basi🤠🤠🤠...hawa wanachojua wakiipata ni kwa Bruno...naye akiipata anaibeba anaibutua kwa Rashidi Makame...halafu Rashidi Makame ndo atajua nn cha kufanya...juzi Everton walikaa vbaya tu ndo wakapata cha kusemea....mechi ijayo wanaenda kucheza na machizi wenzao Nyukesto...hapo ndo utaona sasa hawa mabwana walivyo wabovu....Chelkenge kaenda kajaribu kupishana nao kaambulia alichopata sasa bdo hawa
 
Muongezee hapa Partey ,kwenye hii Bemunda Triangle


Fewest shots on target faced in the Premier League this season:

1. Arsenal - 28
2. Man City - 35
3. Everton - 47
4. Crystal Palace - 47View attachment 2827177
Hawatafika golini

Tunahitaji box to box au DM wa kusaidiana na rice kufanya kazi chafu pale dimbani

I wish aje ata Luiz na huyo partey aendelee kubaki
 
Jumamosi tupo nyumbani dhidi ya Wolves, ni mechi ambayo hata wao wanaitaka, kocha Oneil kwa comment yake ya jana anaonekana anatamani kufundisha timu kubwa, na hizi ndio mechi wanazotumia makocha kama huyu kuionesha dunia Uwezo wao, unakumbuka Arsenal (3-2) bournemouth dakika za lala salama? Alikuwa huyuhuyu kocha, na mimi sipo tayari kuona Arsenal inadondosha point kwa timu kama wolves sasa. Ubingwa wa Ligi ni marathon. Lets go gunners.
 
Huwa linanifurahisha Sana zikifika hizo dakika,halafu awepo na zinny

Ni pass after pass

Nimemkumbuka Sana Uncle Tom , yule mwamba hajui kurudisha mpira nyuma ,Ni mbele kwa mbele
A little Mozart.. Yule jamaa alikuwa fundi saana, uchawi majeruhi moja ya vipaji ambavyo havikufikia ubora wake halisi. Majeruhi ni adui namba oja kwa mwanamichezo.
 
Back
Top Bottom