Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nusu achome kibanda Ile siku ya game, Hadi nikakukumbuka unavyosema dakika zake za kujitoa akili
Brentford walivyo na mateke dawa yao wapate mvuta bangi
Mshukuruni mwamba ,kichaa chake kimewaokoa


Zile dakika zake mbili tatu za wazimu mngelala na viatu
 
Arsenal mnapiga mark time halafu mnajipongeza. Arteta hatawapeleka popote ukilinganisha na Unai walau angewaweka top 4 na kucheza final ya Europa.

Kwa msiofahamu ni kwamba mnamzidi Villa point 2 tu! Halafu hamis77 anawadanganya kuwa arteta ni top coach kuliko Unai.
Unai simngemchukua nyie

Form uchwara imeshawadanganyeni mnaanza kujazana humu

Mpaka round ya kwanza inaisha nitakuwa nimekuacha gepu la point 10+

Kama unabisha Rudi hapa after GW 19


Manjesta naijua kuliko nyie mashabiki uchwara ,
 
Bukayo Saka amefunguka ,hili Jambo limekuwa likitokea ,wanakabwa na watu Hadi watatu

Bukayo Saka

“I feel like a lot of games I’m facing a double team with two guys on me and it’s the same for Gabi (Martinelli). It’s happening in every game. I keep watching all my games back trying to find a solution, what I can do better.'' [@sr_collings]
 
| Bukayo Saka: “Right now we’re getting good results, we’re top of the League and we’re only going to keep progressing, improving and getting better as a team.

“We have some injured players who are going to be back and at the business end of the season I really hope we can push on and do really well.

“It’s nice to be back on top. We had to fight hard [against Brentford] to achieve that but we’re satisfied with the win and the three points.

“It [Kai Havertz’s late winner] shows we’re going to keep going until the end in each and every game. It also shows it’s not been easy for us. We’ve faced a lot of low blocks and teams that want to sit.

“Credit to Brentford, they defended really well. So it took all the way to the end for us to find a breakthrough, but we managed to do it so we’re happy.” [@standardsport] #afc
 
Bukayo Saka amefunguka ,hili Jambo limekuwa likitokea ,wanakabwa na watu Hadi watatu

Bukayo Saka

“I feel like a lot of games I’m facing a double team with two guys on me and it’s the same for Gabi (Martinelli). It’s happening in every game. I keep watching all my games back trying to find a solution, what I can do better.'' [@sr_collings]
Saka ana akili sana ila hapa kaongea nini sasa? Yaani ndiyo sasa hivi anagundua hilo? Mbona kila mtu alishaona hilo tangu zamani? Au kina Ode na bunny blanco walivyokuwa wanampa support na overlap za kuepuka hizo double markings alikuwa anaona kama ni zali tu zinatokea? 😃
 
Bado haujasema Mkuu...😅

Najua unatamani nawe upigwe na kaubaridi ka huku kileleni lakini ndiyo timu yako haina uwezo.

Safari hii hatushuki hapo Juu
Nyie uwezo mnao?
Mnasubiri tuwasaidie draw ili make kileleni
Hilo kuti kavu linadondoka

Tupo pale😂
 
Bukayo Saka amefunguka ,hili Jambo limekuwa likitokea ,wanakabwa na watu Hadi watatu

Bukayo Saka

“I feel like a lot of games I’m facing a double team with two guys on me and it’s the same for Gabi (Martinelli). It’s happening in every game. I keep watching all my games back trying to find a solution, what I can do better.'' [@sr_collings]
Kwahiyo anataka akimbie aachwe tu asikabwe
Kwani anacheza pekeyake?😂

Ramsdale part II
 
Uwezo tunao Mkuu ndiyo maana tupo pale Juu kileleni

Nina ofa yako ya Jersey ya Arsenal, nipe maelekezo nikupe
Unadhani bila Liverpool kuwafunga man city,ungekaa pale juu wewe?

Wazee wa ngekewa
Ila bado nyie ni wasindikizaji tu


Nipe kwanza uzi Liverpool Mkuu
Hata wa Arse8 siyo mbaya mi navaa tu..
Tena ile old version unyama ni mwingi sana
 
Unadhani bila Liverpool kuwafunga man city,ungekaa pale juu wewe?

Wazee wa ngekewa
Ila bado nyie ni wasindikizaji tu


Nipe kwanza uzi Liverpool Mkuu
Hata wa Arse8 siyo mbaya mi navaa tu..
Tena ile old version unyama ni mwingi sana
Hahahaha.............mwaka huu una mzuka sana na timu yako, sijui ile partnership ya akina Salah ndiyo inakupa kiburi 🤪

Hiyo ya Arsenal utaipata, nipe namba ya nyumba au ya Balozi wa nyumba 10

Karibu mitaa ya Emirates kwenye mpira mzuri 💪
 
There are many people inside Osimhen’s camp pushing him towards Chelsea, but the player is becoming increasingly fascinated by the prospect of working with Mikel Arteta and sees himself as a cornerstone piece of the Arsenal project, per source.
Aende Chelsea🤠🤠...sisi hatubebwi na mtu...tunabebwa na system...wasije wakatuletea matatizo kwny klabu yetu maana mchezaji mkianza kumgombea sana na akawa na akili mbilimbili anaanza kujiona keki...tulishatoka huko kwny kubembeleza watu wabadili mawazo Yao kuja kwetu....it's either tukikufata na ww uwe unatamani kuja kwetu au kama unataka nguvu ya pesa itumike basi hutufai🤠🤠
 
Aende Chelsea...sisi hatubebwi na mtu...tunabebwa na system...wasije wakatuletea matatizo kwny klabu yetu maana mchezaji mkianza kumgombea sana na akawa na akili mbilimbili anaanza kujiona keki...tulishatoka huko kwny kubembeleza watu wabadili mawazo Yao kuja kwetu....it's either tukikufata na ww uwe unatamani kuja kwetu au kama unataka nguvu ya pesa itumike basi hutufai
Kilichopo kwa sasa ni kusikiliza msimamo wake ni upi maana Arsenal haipo tayari kuingia kwenye bidding war na Kenge za darajani, inabidi afanye maamuzi kama ilivyokua kwa Declan Rice
 
Saka ana akili sana ila hapa kaongea nini sasa? Yaani ndiyo sasa hivi anagundua hilo? Mbona kila mtu alishaona hilo tangu zamani? Au kina Ode na bunny blanco walivyokuwa wanampa support na overlap za kuepuka hizo double markings alikuwa anaona kama ni zali tu zinatokea?
Ujue Kuna scenario zinasemwa na Zina logic , Ødegaard anatakiwa kucheza LCM , Smith Rowe acheze RCM, Kuna mechi Smith alicheza RCM waliivana sana na Saka,

Anachokikosa saka Sasa hivi Ni zile one two ,
Kwasasa Playmaker wetu amekuwa Saka


Shida inakuja anazingirwa na mabeki wawili Hadi watatu, hivo anahitaji RCM wakufanya nae one two nyingi,na mwenye huo uwezi ni Smith Rowe, Sababu Ødegaard amekuwa mfungaji zaidi kuliko mtengenezaji
 
Back
Top Bottom