Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

masaa machache yamebaki wenger anahangaika na kamkoba cha bajeti .. hehehehe

article-2032290-0DA6B24C00000578-966_468x313.jpg

Dili za mwisho zitakuwa only on paper na mambo mengine yatafuata ... ngoja tuchubiri tione kama kuna wachezaji wengine watatinga Emirates ... .. . on a d-day.
 
masaa machache yamebaki wenger anahangaika na kamkoba cha bajeti .. hehehehe

article-2032290-0DA6B24C00000578-966_468x313.jpg

Mpunga upo wa kutosha anazo £80 million na sidhani hata nusu itatumika ... ... nafikiri wanaomfanyia kauzibe ni makocha wa timu wenye uhusiano mswano na Fungie kunyima wachezaji wao .... .... .... ... maana wanafahamu mziki wake ... .. . hata hivyo Per Mertesacker na Andre Santos watatufaa sana wakati huu wa mpito.
 
Sisi tunapenda chips/mayai au zege watu wote eneo la Ashburton Grove wanajipiga kwa fish and chips.

Kuna uwezekano mkubwa Yosi Benayoun akasajiliwa na mchezaji mwingine wa mwisho ambae atashangaza wapenzi wa timu hiyo huenda akatajwa baada ya saa tano.

Asije akawa mmoja wa wachezaji wafuatao:

Florent Malouda
Yann M'Vila
Marvin Martin
Eden Hazard
Mario Goetze

Au at last Mikael Arteta.
 
Arteta anataka 90,000 kwa wiki na hio haiwezekani kwa umri wake kwani ana 29.

Per Mertesacker ana miaka 26 na ametaka 80,000 na Arsenal wamekubali kwahio utaona difference mkuu.

skynews wame tweet just now breaking news.. everton wamekubali kumuachia arteta .. more news to folllow wanasema stay tuned

#skysources - Arsenal are back in for Everton's Mikel Arteta. We hear a £10m bid has been accepted, terms are the issue #ssn #deadlineday
 
skynews wame tweet just now breaking news.. everton wamekubali kumuachia arteta .. more news to folllow wanasema stay tuned

Sasa tunafahamu kwamba pale Everton anapata 75,000 hivyo alitaka ku-double figures lakini wakiongea vizuri anaweza kukubali kulipwa 80,000 sawa na mjerumani Mertesacker hamna tabu.
 
skynews wame tweet just now breaking news.. everton wamekubali kumuachia arteta .. more news to folllow wanasema stay tuned
yeah...naona BBC wanaripoti kuwa Arteta ameomba kuondoka Everton, jambo lililowashawishi Arsenal kuendelea na mazungumzo!
 
Arteta anataka kucheza champions league na pia kuchezea timu ya taifa ya Spain kwahio ina-make sense kuomba kuondoka Erveton.

Ni cover nzuri sana tumepata na perfect solution after Fabregas kuondoka.

Mpaka sasa Arsenal imetumia paundi milioni 45.
 
Thats it.

Arsenal muda mfupi ujao itatangaza kuwasajili wachezaji Yosi Benayoun na Mikael Arteta.

Arteta bado anataka zaidi ya 80,000 lakini inaweza kumalizwa na Wenger mwenyewe ame-sanction paundi milioni 12 zilipwe kwa Everton.

Yosi Benayoun ambae ni muisraeli inabidi ashughulikiwe suala la kibali cha kufanya kazi ambacho bado kina jina la Chelsea kama mwajiri na inabidi Chelsea waiambie UK Border Agency kwamba Benayoun anabadili jina la mwajiri kuwa Arsenal na hiyo ni kesho lakini kila kitu tayari.
 
mi nasubiri hii ya Mikael Arteta kuwa confimed 90 minutes to go.. kabla dirisha halijafungwa...
 
Mpaka sasa deals za Yann M'Vila, Eden Hazard na Marvin zimetupwa kapuni.

Kwa kuwa Bolton walikuwa wanaringa kumuuza Gary Cahil na kwa kuwa mkataba wake unamalizika mwakani na kwa kuwa sheria ya usajili inaruhusu kumsajili mchezaji akiwa huru na hana timu, basi Arsenal inangoja mwakani kumsajili Gary Cahil bure kama ilivyofanya kwa Marouane Chamakh.
 
Thats it.

Arsenal muda mfupi ujao itatangaza kuwasajili wachezaji Yosi Benayoun na Mikael Arteta.

Arteta bado anataka zaidi ya 80,000 lakini inaweza kumalizwa na Wenger mwenyewe ame-sanction paundi milioni 12 zilipwe kwa Everton.

Yosi Benayoun ambae ni muisraeli inabidi ashughulikiwe suala la kibali cha kufanya kazi ambacho bado kina jina la Chelsea kama mwajiri na inabidi Chelsea waiambie UK Border Agency kwamba Benayoun anabadili jina la mwajiri kuwa Arsenal na hiyo ni kesho lakini kila kitu tayari.

..mkuu uko chumba cha majadiliano nini?
 
..kwa hiyo wanawapa updates kila baada ya muda siyo au ni speculations za watu? kwa hiyo hizo 2 ni confirmed? Arteta na Benayoun?@ Richard
 
Back
Top Bottom