Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tembo akiwa juu ya mti hana madhara yoyote, msimu ulioisha alikaa pale juu kwa siku zisizopungua 258 na akatoka mikono mitupu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...muhudhurie baadae tukio adhwimu la tembo akipanda kileleni kwa mara nyngne ndugu zetu
Ni bora Crystal Palace akikaa pale juu anakua na sumu lakini sio Arsenyau mzee wa kwangu pakavu nitilie mchuzi.