Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyu Reece James huo ulimi na alivyoinama huyu hajaleave group kweli?
View attachment 2814007
Nina mashaka na zile blichi anazoweka.. wachezaji wa Chelsea wanafikirisha sana na vibuno vyao!

Na sasa hivi hao wenye vibuno wakiweka kambi hotel wanachanganywa na lile group la marasi wakiongozwa na Disasi, Oguchukwu na Chukwemeka.
 
Toney is Arsenal's No1 striker target but Brentford want at least £60m and the figure could move closer to £100m if there is a bidding war.‌ That may now be put on the back burner until next summer because of the midfield issue.‌

[@johncrossmirror]
 
BREAKING:

Brazil’s first XI in training for the game against Colombia features:

Gabriel Magalhães starting at LCB, and Gabriel Martinelli STARTING at CF.


Reports, @geglobo.
 
Kocha wa Ufaransa anasema Saliba hua hajiulizi ikiwa atacheza weekend akiwa Arsenal hali hua tofauti akiwa France, hivyo kisaikolojia hayupo sawa.
Wadau wametafsiri kwamba Didier anasema hawezi kumpanga Saliba kwakua he is too good kwenye klabu yake.
Wengine wamehoji best defender kwenye EPL amekua kwenye kikosi cha msimu ligue 1 na EPL unashindwaje kumpa namba?
Wengine wamesema bora asicheze ili asiumie
 
Bora asicheze
 
ila kwel aisee maana hao madogo Epl unakuta wanakabwa na kijiji, ukijichangaya ukawaacha et na beki mmja ndo unajikuta unadababisha kona 7 pekeako au magoli ya kutosha
 
Hamuwezi kumfunga city timu inaruhusu Sana nafasi

Nyie miaka 8 mnafukuzana na pep mmeambulia 1,

Subiri sisi tuanze kumpika ,vijana washakomaa
Klopp alimpigia simu Arteta akamuambia 'kijana naomba upambane nae huyu jini kipara, mimi mwendo nimeumaliza.'
 
Nina mashaka na zile blichi anazoweka.. wachezaji wa Chelsea wanafikirisha sana na vibuno vyao!

Na sasa hivi hao wenye vibuno wakiweka kambi hotel wanachanganywa na lile group la marasi wakiongozwa na Disasi, Oguchukwu na Chukwemeka.
Marasi wenyewe wanaijeria aka matapeli wakuu wa dunia. Utakuta wako hapo darajani wanaanda long con ya kupiga hela za Boehly na kuoa wanawake wa kizungu. Mpira kwao ni by the way tu.
 
Hiki kitu kinatushagnaza sana. Arteta tulihisi anauwezo mdogo kwa sababu ya kukosa uzoefu kama manager, hivyo tukaona tumpe muda ingawa tulipaza sana sauti afukuzwe pia. Klopp na Ten Hag walikuja na uzoefu wa kuwa mabingwa walikotoka hivyo mategemeo ya watu juu yao. Nahisi, deep down, issue ya Ten Hag siyo yeye kufanya vibaya, amefanya vizuri tu kama si sana, bali ni kuwa wengine kama Arteta wamefanya vizuri zaidi kwenye ligi. Hicho ndicho kinampa pressure kutoka kwa mashabiki ya United kwa maoni yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…