Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,842
- 16,292
Top foo ni kitu kidogo sana kwa Man Utd.Nyny mbona mnaamini mtamaliza top 4...kitu ambacho ni ndoto za mchana
Masingeli anaiaminisha misukule ya humu kua CL ndio kombe rahisi kubeba kuliko makombe yote, nimemuuliza kama ni rahisi timu yako ya Arsenyau tokea imeanzishwa mpaka sasa hivi ina makombe mangapi ya CL?
Mpaka leo hajanijibu zaidi ya kuniwekea tu takwimu za Kai Harvez anavyo interchange position na kuwin duel.



