Arsenal kafika Bournemouth akashinda 4 kwa sifuri akaondoka.
Nyukesto wameenda leo 😂😂😂😂😂
Labyrinth 84
Nyukesto wameenda leo 😂😂😂😂😂
Labyrinth 84
Kesho inabidi wawe rafiki zetu hawa 😅Tatizo Kenge hawezi kujishikilia
Ata hiyo draw naona ni ngekewa tu
Nyie kondoo mnajisahaulisha msako tulio wapatia.Tatizo Kenge hawezi kujishikilia
Ata hiyo draw naona ni ngekewa tu
Ninarudia tena
Nyukesto ni westham yenye hela.
Chura kabisa.
Eti Nyukesto ana consistency kuzidi Arsenal.
Na ole wako ujibu bila kunitag![]()
.Wako hoi wengine wanakadiYule forward wao baunsa sijui leo kwann hajacheza angewasaidia...na Bruno naye sijui kwann hajacheza...Man of the Match leo ni kipa wao...maana kawaokoa na aibu ya kipigo cha mbwa koko
Wewe ni simply Msengerema. Usipende kuwazoea Wanaume rijalishida kubwa ni false hopes ndugu yangu, au wewe hujamsikia Masingeli anavyo waaminisha mashabiki humu waanze kabisa kushangilia makombe yao wakati ligi inaendelea?
Masingeli anakwambia SuperComputer tayari imeshawapea Arsenyo ushindi wa mezani wa CL, PL na FA.
Masingelea amewahakikishia watu humu kua msimu huu Arsenyo anachukua treble. View attachment 2810885
Intensity ilikuwa kubwa SanaHao mbwa ile nguvu walioitumia kwenye game dhidi yetu ni nyingi sana, kwa mtu ambae hua anafuatlia mechi zao sio jambo la kawaida kabisa,
Ile game tu ni kama walicheza game 5 kwa siku moja mpaka leo wapo hoi wachezaji hata game ya,Dortmund walikua hoi kabisa, ndo tatizo la kukamia game za wakubwa rejea game vs Man city nguvu waliyotuma japo walifungwa 1-0 game zilizofuata walipoteza game mbili mfululizo kama hiki hiki juzi wamepoteza na dortmond na leo karudisha chenji
Wala hujakoseaWewe ni simply Msengerema. Usipende kuwazoea Wanaume rijali
It was one of Oleksandr Zinchenko’s best performances in an Arsenal shirt today against Burnley.Nyota wangu wa mchezo leo ni Zinchenko.


Kenge huna uwezo wakumpiga msako ArsenalNyie kondoo mnajisahaulisha msako tulio wapatia.
Ona huyu😀😀😀...nilikwambia ndani ya mechi 2 zijazo gepu litafunguka kwa Point 7 na yameshatokea....hivi kwli kbsa leo hii Manunu anakuwa juu yenu??...nilikwambia nyie mtaenda kuwafata wenzenu kina Fulham huko chinichini na ndo kinachotokea...na bdo mtadundwa sana kuku nynyAu sio, wewe ulimfunga huyo Newcastle? Tumepokea matokeo kwa mikono 2 bila lawama yoyote.
Lineups ya Newcastle leo kwanzia midfielders na frontline wamecheza second choice.
Tuna injuries zaidi ya 11 ambapo watu 6 ni first choice ndani ya team .
Tumekubali kabisa injuries ni part ya game ila subiri nyinyi false hopers mpate injuries visingizio vitakuwa vingi mara ooh tungebeba angekuwepo saliba mara jesus.
Timu inayolalamikia injuries ni liva, united na nyukesto. Wakati mnashinda kwa nyumbu ulikua busy kusifia kikosi kua cha second choice na kimemfunga nyumbu.Au sio, wewe ulimfunga huyo Newcastle? Tumepokea matokeo kwa mikono 2 bila lawama yoyote.
Lineups ya Newcastle leo kwanzia midfielders na frontline wamecheza second choice.
Tuna injuries zaidi ya 11 ambapo watu 6 ni first choice ndani ya team .
Tumekubali kabisa injuries ni part ya game ila subiri nyinyi false hopers mpate injuries visingizio vitakuwa vingi mara ooh tungebeba angekuwepo saliba mara jesus.
Arsenal tuna injury 6 kubwa Halafu bado tunaongoza UCL groupTimu inayolalamikia injuries ni liva, united na nyukesto. Wakati mnashinda kwa nyumbu ulikua busy kusifia kikosi kua cha second choice na kimemfunga nyumbu.
Mpaka sasa hivi nyukesto kaifunga arsenal mara 4, Arsenal kaifunga nyukesto mara 21.
Sasa trace back msimu ambao mlikua fit kisha taja kikombe mlichochukua. Chochote tu.
Timber
Smith Rowe
Martin Ødegaard
Partey
Ben White
JesusSafi sanaYule nyumbu aliyekuwa anatukana tayari kashakula ban ya mwaka mmoja
Aje na akaunti nyingine Tena