Mnaosema Havertz kaimprove sijaona sehemu yoyote aliyoimprove.


Hivi zile nguzo zinazoshikilia magoli huwa ni materials gani plastic au ?Doh Trossard vipi tena
Kile chumaHivi zile nguzo zinazoshikilia magoli huwa ni materials gani plastic au ?
Hivi zile nguzo zinazoshikilia magoli huwa ni materials gani plastic au ?
?When Trossard scores the first goal, arsenal go on to win the match
Nikajua ni bongo tu ndio wanaweka chuma...TRossard kapamia ile kituKile chuma
Kwa mfano Hamis anasema jamaa anakava pengo la Martin lakini Martin angekua ameshamtest kipa ashajaribu kutoa assist, ashadrop kwa mid, kafanya dribbles na take ons za kutosha.Mnaosema Havertz kaimprove sijaona sehemu yoyote aliyoimprove.
Ngoja tuone mwisho wake ila sidhani kama hii couple ya Arteta na Kai ikidumu.Kwa mfano Hamis anasema jamaa anakava pengo la Martin lakini Martin angekua ameshamtest kipa ashajaribu kutoa assist, ashadrop kwa mid, kafanya dribbles na take ons za kutosha.
Nafikiri improvement yake ni kupunguza errors. Kocha anatoa maneno positive hoping yatamjenga na confidence
Hapo hatujaweka mid uliyosuggest.Burnley wamejitahidi sana kucheza kwa nidhamu, na hivyo ndio inavyotakiwa ukicheza na arsenal
Lakini FIMBO zipo pale pale