Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,497
- 2,218
Tot kafa
Yaani mechi nzima Wolves anaonekana anatafuta kitu ila kushut ndiyo anaremba, anakuja kushut goli la kwanza.Ila mpira bana😂
Tangu wolves wapo nyuma goal moja lakini uliona jinsi gani game ipo upande waoWolves kashinda manina

Ah kumbe unamjua 😂 huyo yupo kitengo cha propagandaMe matusi siwez, km utani aje tu.
Mimi mwenyewe nilijua watashinda hii mechi sema wamechelewa tu kupata ushindi.Yaani mechi nzima Wolves anaonekana anatafuta kitu ila kushut ndiyo anaremba, anakuja kushut goli la kwanza.
Anashut tena la pili. Namuangalia kipa wa Spurs anavyoshangaa
Aisee wale Wolves siku tutakayocheza nao tujiandae....Wana ball carriers wengi sana na Wana physicality ya ajabu🤠🤠🤠..leo Spurs kilichomkuta na ile Angeball Yao hawatasahauYaani mechi nzima Wolves anaonekana anatafuta kitu ila kushut ndiyo anaremba, anakuja kushut goli la kwanza.
Anashut tena la pili. Namuangalia kipa wa Spurs anavyoshangaa
Advantage yetu ni kwamba wasiwe na ST wa uhakika kama leo. Pia naamini tunaweza kumiliki mpira kuzidi Spurs, entire time Spurs analazimishwa kucheza kaunta siyo jambo dogoAisee wale Wolves siku tutakayocheza nao tujiandae....Wana ball carriers wengi sana na Wana physicality ya ajabu🤠🤠🤠..leo Spurs kilichomkuta na ile Angeball Yao hawatasahau
Poa haina nomaKai angekuwa hivo unavyodai asingecheza na kupata nafasi ,
Wewe kubali labda uelewa wako mdogo tu, usitake kulazimisha kuwa Kai Ni mchezaji wa ovyo
Hajafanya vzr Sana ,lakin tayari ameshaanza ku click
Halafu unataja majina tu Kova ,amefanya Nini hapo mancity
Kama hujui kwanini Arteta alitoa €65m kwa Kai hutajua Tena
Hao unaowataja wangeweza kukusaidia kutumika LCM,RCM na CF?
Mpaka msimu huu bado hatukuwa na proper RCM wakumsaidia Øde ,amejaribiwa Vieira kaonekana anafit zaidi LCM, Smith Rowe angalau alionekana anapaweza ,ila injury
Yaani thamani kwanza Ni kiraka ,wewe unakomaa tu Ni no.8
Si huwa mnadanganywa na zile MBUZI kina HAMIS na MKOREA kwamba mnashinda nyingi sijui mkono as if Mpira ni kitu rahisiiiiiiiiTunacheza kitoto.
Burnley kagoma kushindana kumiliki mpira kaamua kutafuta magoli effect yake ni ana shots 3 na zote on target
Hamna mi hua nakuja na kuondoka na uelewa wanguSi huwa mnadanganywa na zile MBUZI kina HAMIS na MKOREA kwamba mnashinda nyingi sijui mkono as if Mpira ni kitu rahisiiiiiiii
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Subiri zije zile MBUZI mbili MKOREA na HAMIS zikujaze UONGO kuhusu uzuri wa KaiHivi Kai anaweza nini?

zilisema Arsenal leo anashinda mkono,ndio maana huwa ninazotukana maana hazina akili